ukitazama languages comparison studies utagundua kwamba lugha zote za kimataifa na zile zisizo za kimataifa(ispokua) za kiafrika, wanamwita cousin, kwa maana wanaturuhusu kuwaoa, ila waafrika humwita dada ili tusiwaoe, na ndio maana nikamwambia anaruhusiwa kumuoa huyo his cousin, but kwa tamaduni zetu za kiafrika ni vizuri achane na hilo wazo la kumuoa huyo cousin wake ? ambae wa afrika humwita dada. lakini ni kuulize swali. Lakini nikuulize swali, kuna tofauti gani kati ya kaka wa baba na dada wa baba? mbona mtoto wa dada wa baba(shangazi) waafrika wanaruhusu kumuoa? au kwakua yeye si ndugu yako, ina maana a shangazi si damu yako? na kama ni damu yako basi mtoto wake ni dada yako. na upande wa mama vile, kuna tofauti gani kati ya mama mkubwa au mama mdogo na mjomba? wote si ndugu wa mama? kama wote ni ndugu wa mama, kwanini wa mama mdogo au mkubwa umwite dada au kaka, alafu wa mjomba umwite binamu? kama wa mama mdogo kwa upande wa mama ni kaka au dada bila shaka nae atakuwa dada au kaka, na hapo pia hakuna ndoa.