Mama yangu! Mkuu, kama gari haijafanyiwa inspection utatakiwa kulimwa fine ya 30% ya CIF ya gari. Cha kufanya pale gari itakapo ingia, ongea na agent wako aweze kupenyeza rupia (kuhonga) ili gari ipite bila inspection. Yani hapo andaa kati ya laki tano hadi saba hivi. Zamani tulikuwaga tunapenyeza (tunahonga) laki mbili na nusu ila serikali ilipozidisha ukali tukawa tunahonga hadi laki tano na zaidi. Niliwahi kuleta gari bila inspection nikatakiwa nihonge milioni moja, nikawabembeleza weee nikaishia kukata kama laki tano hivi...
Waswahili wanasema, kwenye udhia penyeza Rupia~ Samaia (ufunguzi wa Mloganzila)