Msaada please. Nimeagiza Gari kutoka Singapore

Nenda NIT wanamaliza Singapore ndio wanaoongoza kwa kutoa Container nyingi kwa siku ukanda wa Asia huko na gari zao ni bora zaidi kuliko Japan na wana gari nyingi demand yake ipo kidogo kwa hiyo hata bei pia sio kubwa nazungumza kwa wale tunaoenda wenyewe sio kwa mtandao...
 
Je Kwa Tanzania nitafanyaje ili Gari iweze kufanyiwa inspection please. Na itakuwa vizuri zaidi kama Kuna mtaalamu ambaye anajua gharama za inspection please naomba msaada wenu Wana ndugu zangu .
Mama yangu! Mkuu, kama gari haijafanyiwa inspection utatakiwa kulimwa fine ya 30% ya CIF ya gari. Cha kufanya pale gari itakapo ingia, ongea na agent wako aweze kupenyeza rupia (kuhonga) ili gari ipite bila inspection. Yani hapo andaa kati ya laki tano hadi saba hivi. Zamani tulikuwaga tunapenyeza (tunahonga) laki mbili na nusu ila serikali ilipozidisha ukali tukawa tunahonga hadi laki tano na zaidi. Niliwahi kuleta gari bila inspection nikatakiwa nihonge milioni moja, nikawabembeleza weee nikaishia kukata kama laki tano hivi...
Waswahili wanasema, kwenye udhia penyeza Rupia~ Samaia (ufunguzi wa Mloganzila)
 
Mkuu usimtishe mwenzio!!!penalty in apply kama umeagiza gari sehemu ambayo wao Tbs wana wakala na hukutaka kukagua huko, lakini kuna nchi Tbs hawana wakala mf nchi nyingibza scandinavia, hapo utaratibu ni kuwa unaandika barua tbs na kuelezea then wao wanakupa utaratibu wa kwenda Nit kulikagua huko, kwa gharama elekezi na si penalty.
Iliwahi kunikuta mimi mwaka juzi niliagiza gari kutoka denmark , nikatumia njia hiyo na kufanikiwa
 
asante Kwa ufafanuzi mzuri mkuu .
Ubarikiwe sana sana ,Singapore hawana Wakala wa TBS, NA NDIO LEO NIMEPATA BL AND INVOICE MKUU .
 
mkuu kizuri kula na nduguzo, kama sisi tulivyokusaidia nawe tusaidie kutueleza namna ulivyonunua huko.
 
asante Kwa ufafanuzi mzuri mkuu .
Ubarikiwe sana sana ,Singapore hawana Wakala wa TBS, NA NDIO LEO NIMEPATA BL AND INVOICE MKUU .
We shughulikia mambo ya kodi natozo zinazohusika, barua utakayowaandikia Tbs itafanya wao wakupe release ya kutoa gari bandarini, ila halitasajiliwa mpaka Nit walikague na kulithibitisha,
 
Thanks very much broo ,tayari nimeshatuma Documents zote Kwa Ajent wangu.
 
Mkuu usimtishe mwenzio!!!penalty in apply kama umeagiza gari sehemu ambayo wao Tbs wana wakala na hukutaka kukagua huko, lakini kuna nchi Tbs hawana wakala mf nchi nyingibza scandinavia, hapo utaratibu ni kuwa unaandika barua tbs na kuelezea then wao wanakupa utaratibu wa kwenda Nit kulikagua huko, kwa gharama elekezi na si penalty.
Iliwahi kunikuta mimi mwaka juzi niliagiza gari kutoka denmark , nikatumia njia hiyo na kufanikiwa
Asante kwa taarifa!
 
Au kapewa bure? Gari ya Japan unaiagizia Singapore, why?
Francis, inawezekana kabisa. Singapore wananunua magari mapya kutoka japan. Kule ukiwa na gari, wewe ni tajiri kwa sababu gharama za maegesho na leseni ni balaa.

Wanadiscourage watu kuwa na magari kwa sababu mfumo wao wa usafiri kwa treni na mabasi una ufanisi wa 99℅. Ardhi yao pia ni ndogo sana.

Nakumbuka miaka ya nyuma walikuwa wamepiga marufuku watu kula big G au bubble gum, kwa sababu ya uchafuzi wa mazingira kwenye usafiri wa treni. Wapo vizuri.
 
singapore.net ni wahun, wanapaka rangi magari wanapiga picha inang'aa rogwa uagizie, naongea kwa uzoefu nmeagizia harrier 2 zote zimekuja na defects kibao.
Pole Mkuu wangu,
Uhuni wao unachagizwa na fact kwamba Nchi kama Nchi hatuna Mkaguzi kule, tofauti na ilivyo japan tuna JAAI, EAA, etc
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom