Lamar BlacAmerican
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 978
- 2,313
Nenda NIT Mabibo pale siku hizi wana mitambo ya kutosha kwa ajili ya inspection za magari
Ahsante mkuu
Magari ya Singapore bei nzuri na quality ya hali ya juu. Yana higher specs kuliko ya soko la Japan.
You make my day mkuu[/QUOT
Mkuu ulimaanisha you made my day au ni tatizo la typing error?
Singapore magari bei rahisi sanaWhy Singapore?? Au uliamua tu kuwa tofauti na watanzania wenzako?..
Aliagiza gari gani?Kuna rafiki yangu aliagiza Gari Singapore....mbona linamsumbua hivi mpaka anajuta!
unataka kuikagua au unataka kumtapeli?0653212417 nitafute
Asante sana broo. Tayari Ajent ameshachukua hiyo form Leo na kuijaza tunasubiria watupe invoice ili tuwalipe ndugu ,nadhani kesho itatoka boss .Mkuu jiandae kufanyiwa kitu kinaitwa Destination Inspection(DI),hii ni baada ya kujaza form ya DI ambayo agent wako ataichukua TBS.kuna gharama za kulipia DI ikiwamo Inspection fee, sio hela nyingi sana.Kujiridhusha fika ofisi za TBS pale posta jengo la Diplomatic house
Nampa solution ya changamoto yake, unataka nijitangaze au? Akiona umuhimu atanitafutaunataka kuikagua au unataka kumtapeli?
Broo nimeshapata msaada ila nitakupigia kesho asubuhi maana niko hapa picnic Kaloleni Arusha nashusha Ile kitu ya madoadoa mkuuunataka kuikagua au unataka kumtapeli?
Toyota Vanguard mkuu...Aliagiza gari gani?
Ni suzuki escudo hizi new modelToyota Vanguard mkuu...
SijakusomaNi suzuki escudo hizi new model
Anamaanisha yeye kaagiza hilo na ndio analoulizia hapa mchakato wa inspectionSijakusoma
Kuna jamaa wanajiita trust company limited au japanesevehicles.com wenyewe magari yao ni quality unlike beforward sema tatizo lao ni kua magari yao yana bei kubwa kiasi...Magari ya Singapore bei nzuri na quality ya hali ya juu. Yana higher specs kuliko ya soko la Japan.