Msaada: Nitumie usafiri(gari) gani usiku huu kutoka Dodoma hadi Mbeya?

antanarivo

JF-Expert Member
Jan 9, 2018
448
870
Wakuu naomba msaada wenu natakiwa kuwa mbeya kesho saa mbili na issue ipo emergency sana.

Naombeni mbinu nitumie gari zipi au kwa mwenye mawasiliano na zile gari za magazeti kutokea dodoma msaada please.

Saa mbili hii ndo natoka singida nataraji kuingia Dom saa tano au sita usiku.
 
JARIBU kwenda pale satend ya mabasi ya mkoani nje kunakuaga na gari za mizigo roli au gari ndogo binafsi pale huwezi kukosa.

Ila uwe na pesa tu ya kutosha iwe mara 2 ya nauli ya kawaida kwani unaweza kubahatika ila kwa kuunga unga sana mabasi.

Uwe makini usile wala kunywa ovyo. Na wala usikubari ofa yoyote ya vitu kama pipi au vinywaji. Nakutakia safari njema
 
Tafuta malori Mkuu au private cars ila umechelewa hutawahi kwa haraka ungesubiri pakuche tu
 
Hapa Malori yatakuhusu,na kwa muda huo utakaofika Dodoma,nenda tu stand ya Kikuyu...
 
Kama ni issue ya pesa kodi gari lilipeleke Mbeya chap kwa haraka.

Sijakuelewa upo Singida unataka uende DAR kisha utoke DAR ndio uende Mbeya?

Hebu tueleze vizuri unapitia Dodoma au?
 
Kama ni issue ya pesa kodi gari lilipeleke Mbeya chap kwa haraka.
Sijakuelewa upo Singida unataka uende DAR kisha utoke DAR ndio uende Mbeya?
Hebu tueleze vizuri unapitia Dodoma au?
Nipo singida na gari ya abiria nikifika dodoma natakiwa niende mbeya via mtera mkuu
 
Hapo mkuu nenda Iringa road au mkonze uvizie maroli yanayoenda Songea kwenye makaa ya mawe au Mbeya yaliyoleta ndizi la sivyo hutoboi mkuu.
Wakuu naomba msaada wenu natakiwa kuwa mbeya kesho saa mbili na issue ipo emergency sana , Naombeni mbinu nitumie gari zipi au kwa mwenye mawasiliano na zile gari za magazeti kutokea dodoma msaada please


Saa mbili hii ndo natoka singida nataraji kuingia Dom saa tano au sita usiku
 
Back
Top Bottom