Tiba
JF-Expert Member
- Jul 15, 2008
- 4,607
- 3,191
Wadau wa JF,
Naomba msaada kutoka kwa anayejua nini inaweza ikawa sababu ya Pads za play station kutokubali kuwaka. Kwa wiki moja sasa kijana wangu ameshindwa kucheza na play station yake kwa kuwa pads zinagoma kuwaka na tumeshindwa kujua tatizo liko wapi.
Kwa anayejua, nitashukuru akisaidia kutupa suluhisho la tatizo.
Natanguliza shukrani.