Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,287
- 72,516
fursa kwa wazama chumvini sasa hiyoo
Wakuu
Nimedumu na mpenzi wangu mpya huyu ambaye nampenda sana yapata sasa ni mwezi wa tatu nipo katika huba nzito!
Siku za hivi karibuni amekuwa akihitaji nichukue kinywa changu kupitia ulimi nilambe sehemu ya kikojoleo chake
Hii imenipa ugumu sana kwani siwezi na wala sitaki kujaribu kwenda huko Uvinza
Nimemwambia kabisa hayo anayotaka siwezi kumfanyia licha ya yeye kufanya hivyo kwangu kila tunapokutana
Baada ya mgomo huu, sasa naona kanuna na hali imekuwa tofauti kabadilika kabisa kwani ananilazimisha na mimi sitaki kwani raha kwa kawaida na analizika kabisa sasa sijui anataka niende chumvini nikafanye nini
Wanajamvi naombeni ushauri, namrudisha vipi kwenye line baby wangu huyu niendelee kufaidi dunia pasipo kuzama chumvini
Makubwa....UTI ya kinywa TenaUvalishe ulimi condom, kisha lamba vinginevyo utapata UTI ya kinywa,!!
Duuuh Kweli kafaraangekuwa anaridhika asingekuomba upitie na mitaa ya uvinza. ujue kwake yeye mpenzi wake kuzama chumvini
ni sehemu ya tendo lote hivyo usipopita huko inakuwa hujakamilisha mzunguko wa shughuli nzima.
tatizo ni kwamba wewe ushaona na "kikojoleo" hapo lazima usite kuzama huko. ukiwa kwenye shughuli
acha kuiona sehemu hiyo kama "kikojoleo" na uanze kuikubali kama sehemu ikupayo raha na pia kumpa
mwenzi wako raha.
Duuuh Kweli kafara
Wakuu
Nimedumu na mpenzi wangu mpya huyu ambaye nampenda sana yapata sasa ni mwezi wa tatu nipo katika huba nzito!
Siku za hivi karibuni amekuwa akihitaji nichukue kinywa changu kupitia ulimi nilambe sehemu ya kikojoleo chake
Hii imenipa ugumu sana kwani siwezi na wala sitaki kujaribu kwenda huko Uvinza
Nimemwambia kabisa hayo anayotaka siwezi kumfanyia licha ya yeye kufanya hivyo kwangu kila tunapokutana
Baada ya mgomo huu, sasa naona kanuna na hali imekuwa tofauti kabadilika kabisa kwani ananilazimisha na mimi sitaki kwani raha kwa kawaida na analizika kabisa sasa sijui anataka niende chumvini nikafanye nini
Wanajamvi naombeni ushauri, namrudisha vipi kwenye line baby wangu huyu niendelee kufaidi dunia pasipo kuzama chumvini
sio kwa uchafu ulioko hukosasa kama bibie anataka deki inabidi jamaa aitikie wito au ambwage tu.
sio kuita sehemu ya starehe "kikojoleo"😀😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuzama kolomije siwezi bora nitumbuliwe tuuhh[emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137]
Akachukuliwe vipimo vya magonjwa kwani kikwazo ni magonjwa pekee?........ile cream ambayo huwa mnatoa utamu ukikolea je???[emoji17] [emoji17] [emoji17]Mkafanye sexual health screening kwanza kuna gonorrhoea, chlamydia, herpes and so on. Kama yuko tayari mwende hospitali akachukuliwe vaginal swabs, majibu yakiwa fresh mwambie uko tayari.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuzama kolomije siwezi bora nitumbuliwe tuuhh[emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137]