Msaada; Penzi linakaribia mwisho sababu nimegoma kuzama chumvini

Msaada; Penzi linakaribia mwisho sababu nimegoma kuzama chumvini

Hslitaisha ,atakupenda kuzidi siku zote akipata mbadala ili akubribe. Chezea totos
 
Wakuu
Nimedumu na mpenzi wangu mpya huyu ambaye nampenda sana yapata sasa ni mwezi wa tatu nipo katika huba nzito!

Siku za hivi karibuni amekuwa akihitaji nichukue kinywa changu kupitia ulimi nilambe sehemu ya kikojoleo chake
Hii imenipa ugumu sana kwani siwezi na wala sitaki kujaribu kwenda huko Uvinza

Nimemwambia kabisa hayo anayotaka siwezi kumfanyia licha ya yeye kufanya hivyo kwangu kila tunapokutana

Baada ya mgomo huu, sasa naona kanuna na hali imekuwa tofauti kabadilika kabisa kwani ananilazimisha na mimi sitaki kwani raha kwa kawaida na analizika kabisa sasa sijui anataka niende chumvini nikafanye nini

Wanajamvi naombeni ushauri, namrudisha vipi kwenye line baby wangu huyu niendelee kufaidi dunia pasipo kuzama chumvini
Naomba uache huo mchezo hasa kama haujauzoea kwasababu hautafurahia. Vinginevyo itakulazimu ujifunze either kwa kuangalia video tutorials za YouTube.
 
Na wewe mkataze kukufanyia hivyo... Wewe unajiegesha kabisa kufanyiwa mwenzio hutaki... Ubinasfi huo...

Ukishindwa kabisa tumia ndimu...


Cc: mahondaw
 
Mkafanye sexual health screening kwanza kuna gonorrhoea, chlamydia, herpes and so on. Kama yuko tayari mwende hospitali akachukuliwe vaginal swabs, majibu yakiwa fresh mwambie uko tayari.
Gharama zake zikoje mkuu
 
Mkafanye sexual health screening kwanza kuna gonorrhoea, chlamydia, herpes and so on. Kama yuko tayari mwende hospitali akachukuliwe vaginal swabs, majibu yakiwa fresh mwambie uko tayari.
Hayo mapenzi yenu ya tandale mi siyawezi, mnanyonyana na kulambana mipwechelo?
Mwisho mtaanza kunyonyana makwapa
 
Huyo demu wako anataka kuufanya mdomo wako kiwanda cha chumvi..
Embu jiuliz ni msafi haujawah sikia haruf yeyot
Kama ndio tafta brand anzisha kiwanda mwana zama chunvin na akitaka mrarue marinda teh teh( mech za kibab)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom