Naomba msaada laptop yangu ina window 7 inakataa...

banzy

Member
Sep 2, 2012
22
140
Habari zenu wakuu!!
laptop yangu ni Lenovo g570 ilikua na window 7 ultimate 64 -bit,ilikorofisha nikaiformat nikairudishia window 7 ultimate 64bit,tatizo linakuja haikubali kuinstall baadhi ya programs kama office,adobe reader,na zingine nyingi pia ukiclick set up file inakua inaload kidogo halafu inaacha pia Nina kawaida ya kuweka os 2 nyingine ni linux, sasa sifahamu tatizo litakua wapi?? au kuna settings natakiwa kuzirekebsha naombeni msaada wenu coz kuna kazi inabdi ifanyike nisubmit j3.
 
jaribu win7 proffessional.
 
Mkuu,
Jitahidi sana sana usipende kufunga operating system 2 tofauti katika machine 1, nakuomba tu ujitahidi, inawezekana kuna matatizo kwenye run.dll file. fanya hivi; jaribu kuchunguza kama kuna driver zinazomiss na uziinstall ikishindikana, reboot machine kama bado funga windows upya.

Habari zenu wakuu!!
laptop yangu ni Lenovo g570 ilikua na window 7 ultimate 64 -bit,ilikorofisha nikaiformat nikairudishia window 7 ultimate 64bit,tatizo linakuja haikubali kuinstall baadhi ya programs kama office,adobe reader,na zingine nyingi pia ukiclick set up file inakua inaload kidogo halafu inaacha pia Nina kawaida ya kuweka os 2 nyingine ni linux, sasa sifahamu tatizo litakua wapi?? au kuna settings natakiwa kuzirekebsha naombeni msaada wenu coz kuna kazi inabdi ifanyike nisubmit j3.
 
uninstall windows 7, install linux kisha reinstall windows 7.kuhusu program zingine kama adobe reader, unaweza kuingiza tene na tena au tafuta na ingiza earlier versions kisher update, upgrade.hiyo ni kutokana na security settings za windows 7.Binafsi, nimeahirisha kuweka os nyingine baada ya kugundua security settings za windows 7 kuwa ni kiboko.si rahisi kushambuliwa na ina auto boot sector recovery settings kama ikitokea boot failure kwasababu fulani.
 
Mkuu, hapa ni bora ku-install windows 1st then leave unallocated/unused space ( e.g >=30Gb). Install linux in free/unallocated disk space, in windows OS install the required drivers kulingana na aina ya kompyuta yako (Lenovo XXXX). Windows 7 ina built in drivers ambazo mi binafsi waga sizikubali, ni bora ku-install hardware drivers recommended by manufacturer kama LAN, VGA, Audio (n.k) drivers for Lenovo XXXX.
 
Habari zenu wakuu!!
laptop yangu ni Lenovo g570 ilikua na window 7 ultimate 64 -bit,ilikorofisha nikaiformat nikairudishia window 7 ultimate 64bit,tatizo linakuja haikubali kuinstall baadhi ya programs kama office,adobe reader,na zingine nyingi pia ukiclick set up file inakua inaload kidogo halafu inaacha pia Nina kawaida ya kuweka os 2 nyingine ni linux, sasa sifahamu tatizo litakua wapi?? au kuna settings natakiwa kuzirekebsha naombeni msaada wenu coz kuna kazi inabdi ifanyike nisubmit j3.

tatizo hapo program nyingi ni compatible sana na os yenye 32bit, OS kartibia zote zenye 64bit ziko selective na program cha msingi we weka os yenye 32bit au tafuta office ya na hizo program zingine zenye uwezo wa kuingia kwenye 64bit
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom