kuku mwenye mimba
Member
- Jan 27, 2015
- 21
- 3
wakuu salaam kwenu
Ndugu yenu ninashida inayonitatiza upande wa visa prepaid card.nina visa prepaid card ya UBA,nilikuwa na visa prepaid card ya kwanza mwaka jana october,katika mazingira ya kutatanisha nilipoweka hela nikakatwa tsh 400,000.niliwatumia bank email,wakanijibu kuwa nimekatwa hela sababu niliwahi ku overdraw.
Mwaka huu mwezi march nimefungua visa prepaid card nyingine,juzi nilifanya trasanction ya kutumiwa hela kwenye hiyo visa prepaid card,nikakatwa tsh 130,000.maelezo yamekuja yale yale kuwa nimekatwa sababu nili overdraw siku za nyuma.
Currently sipo Tanzania hivo nimeshindwa kufika bank kupata maelezo ya hii kitu,binafsi nahisi kama nachezewa kamchezo.ufahamu wangu kuhusu visa prepaid card ni kuwa huwezi ukatoa hela usiyo kuwa nayo.na mara zote sijawahi toa pesa iliyozidi.
Nikiwa na pesa kwenye card huwa napiga rate ya tsh na hela ya nchi niliyopo,na ndohela ambayo huwa naikuta.kwa wajuzi wa haya mambo tafadhalini nisaidieni ndugu yenu.