msaada on how to unlock new vodacom usb modem e173 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada on how to unlock new vodacom usb modem e173

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mayu, Aug 18, 2012.

 1. M

  Mayu JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Wakuu habarini za weekend,
  Nimenunua modem ya Vodacom e173 nataka kuichakachua kwa matumizi ya mitandao mingine

  Nimejaribu kusearch humu JF sijakutana na hii kitu

  So please mwenye maujanja atusaidie hapa
   
 2. Chiwa

  Chiwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 1,336
  Likes Received: 633
  Trophy Points: 280
  do! kwanini mnapenda bure? mimi naamini bure inaongeza umaskini kwa kuwa kila siku unaweza usifikirie utapataje pesa kihalali na unaangalia gaps za bure. kama hiyo haitoshi sina uhakika kama mtu huyu anayependa bure sana anaweza kumlipa mfanya kazi wake vizuri kwa kipato anacho mwingizia
   
 3. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mkuu, hii mitandao inatuibia sana tena sana!! Na sisi inabidi tuiibie.
   
 4. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tupia IMEI ya Modem yako hapa nikupe Unlock Code sasa hivi
   
 5. M

  Mayu JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Nashukuru mkuu, nipo mbali na home nikifika tu ntautumia
   
 6. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Namimi pia nimekuPM kaka!
   
 7. M

  Mayu JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Mkuu unajua unachokiongea lakini? Au ndio ile kule umachi noo

  Nani anaongelea bure hapa, nimekwenda voda shop nikatoa pesa yangu kununua modem, na sasa nataka kuitoa lock niwe flexible kutumia mtandao wowote wewe unaita bure

  Kuchakachua modem hakuna maana uitumie bure mkuu, kunamaana ya kufanya modem yake kutumia sim card tofauti tu na ukiwa umenunua bundle halali
   
 8. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nishakutumia Unlock Code
   
 9. B

  Bingley Senior Member

  #9
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na mm nipe ku PM mkuu!
   
 10. wencewandi

  wencewandi Member

  #10
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  najua hyo modem yako inaweza ikawa ya huawei au zte na prog ya kuunlock modem zote hpo sema kuattach inagoma xo kama vp unaweza put ur IMEI na ntakupa unlocking codes. au check me through: wencewandi@yahoo.ca
   
 11. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #11
  Aug 19, 2012
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,154
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kama bado hujapata ufumbuzi weka imei yako hapa tukupe unlock code au kama wataka yale mambo ya" Raha jipe mwenyewe" sema tukupe link
   
 12. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  usiangaike na hao wanaojifanya wajuaji kumbe hakuna walijualo
   
 13. serio

  serio JF-Expert Member

  #13
  Aug 19, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  imei 862910017738011 hii ni huawei e173 ya airtel
   
 14. Shaffin Simbamwene

  Shaffin Simbamwene Verified User

  #14
  Aug 19, 2012
  Joined: Nov 16, 2008
  Messages: 1,154
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hacha utani wewe si umeambiwa humu JF kuwa hizo hazichakachuki kama E173 ya voda sawa si hizo customized za Airtel
   
 15. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #15
  Aug 19, 2012
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Unlock Code yako ni 35891313
  Na flash code yako ni 61157886

  Kama ni modem E173 ya voda weka line ya mtandao mwingine ikileta option ya unlock code weka 35891313
   
 16. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #16
  Aug 19, 2012
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mkuu mimi nachakachua iwe ya Voda au Airtel nimechakachua hii modem ya Voda mpya E303 kwa new Firmware inakula line zote sasa
   
 17. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #17
  Aug 19, 2012
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
 18. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #18
  Aug 19, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,045
  Trophy Points: 280
 19. M

  Mayu JF-Expert Member

  #19
  Aug 19, 2012
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Thanx a lot guyz
  , kwa msaada wa wadau wamenipatia software nikamaliza mchezo.
  Problem solved, kitu mwake mwake nakamua line zote sasa
   
 20. m

  mr green Member

  #20
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 25
  hey,bro hata me nina modem ya E173 airtel kama vipi naomba nisaidie hiyo software coz nahitaji kutumia lyn zote
   
Loading...