donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,523
Salam wakuu na ma tech moguls wote,
Straight to the point,naomba msaada wa ku-unlock hii router ya Vodafone R207-Z pocket wifi niweze kuitumia kwa mitandao mingine. Nlijaribu site ya Huawei modem unlocker lakini hii model ni ZTE na inahitaji 16unlock codes on the contrary to Huawei ambayo Ni 12 codes. Naomba msaada jinsi ya kutatua hili. Nice weekend