Joke wakati unamaanisha!!inafikika kwa urahisi ili hata mchepuko akiitwa asipoteejoke
PoaKuweni serious kidogo wandugu, sio mida yote watu wanawaza michepuko
Mkuu hapo La Stanza kiwanja changu!Kuna sehem nzuri ya kunywa bia inaitwa lastanza
Kuna sehem nzuri ya kunywa bia inaitwa lastanza
Mkuu hapo La Stanza kiwanja changu!
La stanza hakuna huduma ya kulala pale.Kuna sehem nzuri ya kunywa bia inaitwa lastanza
Mkuu njoo PM mitaa ya Goba ndiyo mitaa yangu hiyo,ukifika Goba centre kuna nyumba ya wageni inaitwa Mwamuyami iko opp na Police post Goba sehemu salama kabisa ni dakika moja toka stand,kuna nyingine inaitwa Leopard hii iko maeneo yanaitwa njia panda ni jirani na hii Club inaitwa Lastanza bei zake ni affordable about 20-30 na nyingine nyingi tu zipo.Heshima kwenu wanaJf, nategemea kuwa na project fulani kwa muda wa wiki mbili hivi karibu na mitaa ya Goba Dsm, hivyo ningependa kwa wenyeji wa huko wanijuze ni sehemu gani naweza pata hudumu ya nyumba ya wageni/hotel isiyozidi 30,000/Day.
Ningependa iwe sehemu yenye usalama na inayofikika kwa urahisi ikiwa nitatumia usafiri wa daladala.
Mkuu utakuwa jirani yangu!Hatari sana La Stanza yule Dj anapigaga bongo fleva za kitamboooo mpaka burudani hapo koo limefunguka
Mkuu vile vimini vya wahudumu na mishikaki ya nundu hapo ni noumaKuna sehem nzuri ya kunywa bia inaitwa lastanza