Napata ujumbe wa" No audio device found!!" Computer yangu inaniambia !! Msaada tafadhali

Napata ujumbe wa" No audio device found!!" Computer yangu inaniambia !! Msaada tafadhali

Kiresua

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2009
Posts
1,183
Reaction score
261
Halow wana JF,

Computer yangu Laptop Dell mpyaaaa!!! haina sauti mfano nikiweka modem yenye option ya kupiga simu, inaniambia no audio device found, the call will be terminated!! halafu basi.

Nimejaribu kwenda kwenye Device manager--sound and video controller--scan for any hardware changes lakini mhhh!!! haijafanikiwa.

nikienda kwenye control pannel --hardware and sounds--manage audio device--recording inaniambia no audio device installed... naona hapa ndo kuna tatizo yaani hakuna Audio device installed...

Nipeni msaada ndugu zangu!!

asante sana
 
bila shaka ni desktop hiyo. Hapo unatakiwa kufunga sound card mwana
 
Mwanzo ulikua unapata sound? Je mziki unapiga? Kama yes basi tatizo dogo tu hapo tafuta sound drivers!
 
nilishawahi kukutana na tatizo hilo nilipo install window xp kwenye laptop yangu (dell), pia imeshamkuta mshkaji wangu naye ali install window xp kwenye laptop yake ikawa haitoi sauti, mpka tulipoweka window 7, nakushauri u install window 7 upya.
 
Ingia kwenye dell website,halafu download driver ya sound ya computer yako,itAkubidi uandike juna la computer yako ili urahisishe kusearch,au fungua google halafu andika 'free download of dell.... Sound driver',hapo kwenye deshi weka aina ya dell yako,halafu download install
 
Download hapa..http://uppit.com/sojn08i9lwbm/driver_genius.rar. ukiextract na kufungua hiyo software itakujia hivi:-


View attachment 61208

UKISHAMALIZA KUINSTALL RUN HIYO PROGRAM ITAANZA KUSCAN DRIVERS ZOTE ZINAZOHITAJIKA KWA PC YAKO, IKIMALIZA CLICK SOLVE IT THEN DOWNLOAD ALL ITAANZA KUDOWNLOAD KILA DRIVERS(UPDATED DRIVERS) THEN INSTALL IT.
PIAUNAWEZA DOWNLOAD NA KUCHECK HII SINEMA ILI UJUE NAMNA YA KUINSTALL NA KUTUMIA HIYO SOFTWARE Download simb.mp4 @ UppIT
 
hiyo tatizo ni hakuna sound driver kaka, kama upo nzega nitafute nikuwekee bure.
 
shika hizi hapa audio device driver win xp sp3 zitasolve tatizo lako,,,instal mojawapo
kaka hizo drivers zako haziwezi kuwa solv kwa pc zote coz drivers utofautiana pc na pc mfano yule wa high definition audio bus atumie zipi kati ya hizo?
Dawa ni drivers genius pro itakupa drivers sahihi na zilizo updated:israel::israel::israel:
 
Back
Top Bottom