Msaada:Njia sahihi ya kuandaa mkataba wa pikipiki(bodaboda)

2in1

JF-Expert Member
Mar 29, 2014
211
79
Habari ,
Wakuu ipo hivi "nataka nifanye biashara ya pikipiki(bodaboda) kwa mkataba yani nampa dereva pikipiki awe ananiletea sh 10000 kwa kila siku then baada ya mwaka mmoja inakua yake, hapo gharama za matengenezo mbalimbali pamoja na sevices zinakua juu yake yeye.Kwa hiyo kwa hizo siku 365 za mwaka nategemea kupata kiasi cha shil mil 3.5"
Sasa wakuu mimi ni mgeni kwenye haya mambo yani sina idea yoyote juu ya hii mikataba inavyokua so nimeamua niwaletee ndugu zangu humu JF munipe hints mbalimbali kama format ya mkataba na pia mambo muhimu ambayo yanatakiwa yawepo ndani ya huo mkataba pia vitu vya kuzingatia wakati wa kuandika na mahali pa kuandikishiana mkataba.
Thanks;

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo Mimi sio mwanasheria bila naona vitu vya kuzingatia, Mosi, MKATABA uandikishiane ukiwa na mashahidi wako na yeye akiwa na mashahidi wake mbele ya serikali ya mtaa.Pili, kwenye MKATABA ikitokea moja wenu kavunja MKATABA hasara IWE juu Yake, Mfano kama alitakiwa alete hesabu kola siku Halafu asilete kwa muda wa wiki kadhaa basi pikipiki hiyo irudi kwako pasipo kumrudishia pesa zake alizokwishakulipa, Tatu,ikitokea imeibwa hapo itakuwa hasara kwa nani? lazima muweke wazi, NNE ikitokea moja wenu amefariki vipi ni hatua Zipo mtachukua? Tano,
 
Back
Top Bottom