amita bacha
Senior Member
- Mar 10, 2017
- 180
- 411
ndulele hili jina ni maarufu mkoa wa tanga.wengine huziita tura au tunguluja au tunguuja ni ktk famili ya Nyanya chungu(ngogwe) Lkn hizo ni ndogo.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Jamani naombeni mwenye kujua kwa hapa Dar es salaam nitapata wapi Ndulele.
Natumai nitapata jawabu sababu hakuna linaloshindikana.
Ndulele ndulele
Kwetu tunaita dungulusi...ndulele hili jina ni maarufu mkoa wa tanga.wengine huziita tura au tunguluja au tunguuja ni ktk famili ya Nyanya chungu(ngogwe) Lkn hizo ni ndogo.
Makongo juu kwenye miti miti vichakani kwa ndani auNenda makongo juu zipo kwa wingi
hahaha umenifurahisha. Nazijua kwa jina la la ndulandulandulele hili jina ni maarufu mkoa wa tanga.wengine huziita tura au tunguluja au tunguuja ni ktk famili ya Nyanya chungu(ngogwe) Lkn hizo ni ndogo.
Utakua chalii wa kaskazini.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Jamani naombeni mwenye kujua kwa hapa Dar es salaam nitapata wapi Ndulele.
Natumai nitapata jawabu sababu hakuna linaloshindikana.
Ndulele ndulele
Mkuu dah nazihitaji kinoma sababu ya jinoMkuu daa,yani nilipo ss naziona.Nipo shamba nimevua shati napalilia mahindi mixer na karanga.Mandulele kibao, sijui nikutumie kwa bus
Kwakuwa ni freedom of speech endelea kuongea joh unayoyatakaMatatizo ya kuagizwa vitu na waganga wa kienyeji,VP hakukuagiza na mayai ya kanga?
Nataka nisafishe jinoKinachoweza kufanywa na Ndulele pia kinaweza kufanywa na nyanya chungu...