Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,767
- 145,554
Action aliyofanyiwa anko wangu kutoka katika afya njema mpaka kuwa katika ugonjwa hewa ndio nikaa mini kuna giza hapo
Action hiyo haiwezekani kivingine vyovyote vile ila kwa uchawi tu?
Action aliyofanyiwa anko wangu kutoka katika afya njema mpaka kuwa katika ugonjwa hewa ndio nikaa mini kuna giza hapo
Kabla ya kuzama ndani tafadhali nifahamishe uelewa wako...kuhusu yafuatayo
Dunian kuna viumbe wa aina ngapi???
Unamjua firauni na vitimbi vyake..???
Unaujua moto??
Na jeunajua kuna nguvu za giza ??
Suala la duniani kuna viumbe wa aina ngapi linakuja vipi hapa na umuhimu wake ukoje?
Firauni alikuwa mtawala wa Masr.
Moto ni vitu vinapochanganyika na oxygen na kutoa nguvu inayotokana na mwendokasi wa chembe asili.
Nguvu za giza ni hadithi za tisha toto.
Unaweza kuthibitisha kwamba kuna nguvu za giza?
Hili jibu zur sana mkuu, habar za siku
Dawa ya mchawi ni panga zile za shingo ndefu.
Amen to that. ONLY JESUSJina la YESU ni nome, ni njia, ni uzima, "njooni kwangu wote msumbukao na kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha. Nenda mkuu nenda, litakavyoisha uatashangaa mwenyewe.
Hivi akiomba kabla ya kuokoka maombi yake yatakuwa na nguvu?
Na baada ya kuomba bila kuwa na msingi wa imani katika Yesu Kristo hatatetereka na vita hivi vikubwa vya kupigana na mamlaka na jeshi la nguvu za giza?
Ok, any way ila ushauri wangu wa kwanza aokoke, amjue Yesu na mamlaka yake na for the time being awashirikshe kimaombi wapendwa watakaomwongoza katika wokovu wake na aendelee bila kukoma katika maombi na kwa ujasili siku aende shambani na wapendwa wafanye maombi hapo kabla ya kumvaa huyo mama kwa maswali na taratibu zingine.
Kama binadamu wa kawaida lazima utambue kuna viumbe wanao onekana kama wewe na yule na vingine visivyo onekana kama majini na mapepoSuala la duniani kuna viumbe wa aina ngapi linakuja vipi hapa na umuhimu wake ukoje?
Firauni alikuwa mtawala wa Masr.
Moto ni vitu vinapochanganyika na oxygen na kutoa nguvu inayotokana na mwendokasi wa chembe asili.
Nguvu za giza ni hadithi za tisha toto.
Unaweza kuthibitisha kwamba kuna nguvu za giza?
Inawezekana lakini kivingine nilazima kungekuwepo na dalili zake...but sikuziona .....imetokea ghafla
Sikiliza mkali wangu.......kuna vijitu vinajifanya visomi haviamini uchawi ila uchawi upoo na unafanya kazi babu,achana na masharo hao wanaojifanya hawaamini coz wana kiDgrii kimoja sijui kitu gani,bob tafuta mganga mapemaaaaa la sivyo anko utampoteza hayo mambo yapo mwanangu wahiiii ohoo.......

Kama binadamu wa kawaida lazima utambue kuna viumbe wanao onekana kama wewe na yule na vingine visivyo onekana kama majini na mapepo
Nguvu za giza zipo tangu enzi hizo hata kabla wewe hujawa mtoto na watu waliiutumia sana sio tisha toto
Kwani wewe ulitambuaje firauni ni mtawala wa misri... na sio kwingine
Dawa ya wachawi ni bangi tuu..na yeyote anaechukia bangi ni mchawi!