Msaada: Nitapambana vipi na Mchawi?

Msaada: Nitapambana vipi na Mchawi?

1.Je, ni wapi palipoanzia uzushi huu hadi ukasambaa dunia nzima?

It's hard to trace its fons et origo. But since the human mind is capable of imagining things and coming up with fairy tales, it is no surprise to me that that is perhaps where (the mind) it started.

Just ask yourself, do leprechauns really exist? What about Santa?

2.Je,ni njia gani ilitumika kusambaza uzushi huo hadi ikafanikiwa dunia nzima?

Simulizi na maongezi.

3.Kama zama hizo watu waliamini uchawi kwa sababu ya ujinga je,vp sasa hivi bado watu wanaendelea kuamini huo uchawi?

Kwa vile ni vigumu sana kufuta ujinga ndo maana bado hata hivi sasa wapo watu wanaoendelea kuamini hayo mambo kichawi.

Na mara nyingi watu wakiwa hawana majibu ya jambo au tukio fulani basi default sababu huwa inahusisha mambo ya imani, iwe uchawi au dini (mungu).
 
Wewe unafahamu dalili zote za magonjwa yote?

Na una uwezo wa kumuina mtu mpaka ndani ya mwili wake hata pale dalili zisipoonekana kwa nje?

Dalili alalamikazo mgonjwa na hali yake baada kuanza kuugua ndio inanisukuma kuwa mgonjwa anahitaji msaada wa haraka..
Dalili si mpaka za ndani ..na ingekuwa hivyo watu wangekuwa wanakufa sana..kama uchawi vile
 
Mi sijaona sababu ya maana ya kuja kuomba msaada humu hali ya kuwa ushajiridhisha kwa kuamini kuwa kinachomsumbua Anko wako ni uchawi,na wewe ni muumini wa ukristo hivyo ungeenda kutafuta msaada wa hayo matatizo uliyonayo sehemu husika katika dini yako,kuliko kuleta tatizo lako humu kwenye watu wenye imani tofauti na mitazamo tofauti..matokeo yake ndiyo kama unavyoona wengine wanakushauri umuuwe huyo mama,wengine wanakwambia uende kwa mganga,wengine ndiyo wanakwambia hakuna uchawi kabisa.

Nimawaza sikupata jawabu ndio maana nimekuja huku jamvini
 
It's hard to trace its fons et origo. But since the human mind is capable of imagining things and coming up with fairy tales, it is no surprise to me that that is perhaps where (the mind) it started.

Just ask yourself, do leprechauns really exist? What about Santa?

Simulizi na maongezi.

Kwa vile ni vigumu sana kufuta ujinga ndo maana bado hata hivi sasa wapo watu wanaoendelea kuamini hayo mambo kichawi.

Na mara nyingi watu wakiwa hawana majibu ya jambo au tukio fulani basi default sababu huwa inahusisha mambo ya imani, iwe uchawi au dini (mungu).
Uchawi upo sema kuamini upo labda yakukute mambo ya kichawi ndio utaamini
 
Kumuongoza wapi?
Na kwa nini ahitaji kuongozwa na si kujiongoza?
Mamlaka na power ya kujiongoza hana....
Ubongo wa mtu hauna uwezo kupanga yajayo katika muongozo wa kuishi ulimwenguni..
Labda uwezo wa kuongoza milango ya fahamu tu..
 
Naongozwa na mambo kadhaa - maadili mema, akili, busara, hekima, juhudi na bidii za kujitafutia riziki halali.
Vikiwa chini ya mamlaka ya mungu alie juu muweza wa vyote ..
Mwenye uwezo wa kutoa jua mashariki na kulizamisha magharibi...mpaka kwa akili yako ukatambua huu ni mchana na huu ni usiku...

Yaani yeye ni alfa na omega katika maisha yako
 
Vikiwa chini ya mamlaka ya mungu alie juu muweza wa vyote ..

Hapana, hivyo vyote viko chini ya mamlaka yangu.

Mwenye uwezo wa kutoa jua mashariki na kulizamisha magharibi...mpaka kwa akili yako ukatambua huu ni mchana na huu ni usiku...

Yaani yeye ni alfa na omega katika maisha yako

Ninja please......
 
Hapana, hivyo vyote viko chini ya mamlaka yangu.

Ninja please......
Wewe una uwezo wa kusimamia mdudu aliye chini ya bahari akaishi??
Lazima utambue tu uwezo wako ni mdogo sana.. labda wa kupakiza mshikaki katika boda boda
 
Wewe una uwezo wa kusimamia mdudu aliye chini ya bahari akaishi??
Lazima utambue tu uwezo wako ni mdogo sana.. labda wa kupakiza mshikaki katika boda boda

Sawa, nina uwezo mdogo sana.

Lakini hata huyo mungu mnayemwabudu hana uwezo mkubwa kivile (achilia mbali kama hata yupo kweli!).
 
Sawa, nina uwezo mdogo sana.

Lakini hata huyo mungu mnayemwabudu hana uwezo mkubwa kivile (achilia mbali kama hata yupo kweli!).
Umepimaje ukawa na jibu la mwisho

Kama hana uwezo jaribu zoezi moja dogo tu la kujipiga kitanzi ufe then ulale mpaka siku ya malipo ndio utajua uwezo wake...
Au jiue halafu ujifufue wewe kama wewe then utoe hukumu kwa mungu mkuu wa majeshi awezae kugeuza aliyehai akawa maiti na kufufua maiti na kuipa uhai..kuwa ana uwezo mdogo
Soma utoe ujinga mkuu
 
You are comedy!
 
Back
Top Bottom