Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,756
- 145,528
kila kitu kinafanyika katika MUNGU, amini MUNGU utafanikiwa jambo lako
Hakuna uchawi wala mungu, viwili hivi ni pande mbili za sarafu ile ile ya kufikirika.
kila kitu kinafanyika katika MUNGU, amini MUNGU utafanikiwa jambo lako
Kwa hiyo kilichomtokea yule anko ni nini?
mimi sija andika mungu, nimeandika MUNGU namaanisha ndio mweza wa yote hapa duniani
usijaribu kujadili asili hapa hatutapata majibu sababu tayari umeshaamini hakuna MUNGU. Mtoa mada anahitaji msaada wa kuweza kuchukua shamba na anko wake aweze kupona. Amini MUNGU yupo ndugu yangu, hili ni neno ambalo nakuachia..!!
Tatizo liko kwako mkuu..
ww unaandika mungu, mimi namaanisha MUNGU ili twende sawa inabidi umaniishe kama mimi. Ukibaki hapo tutakuwa na muonekano tofauti, napenda wewe uwe muumini mzuri na udumu katika imani ya Kristu.!!
usiishi kwa mapokeo mkuu na kukufanya uamini kila kitu kutoka nje ya Afrika kina ubora. Na ubora uliowafanya kuendelea ambao umetokana na wao kutokuwa wajinga. Funguka jifunze vitu kwa kina, kama uko abroad jaribu kutembelea megafactory industries itakusaidia japokuwa hutajitosheleza kwa muda mchache.!!
Mkuu Ukitaka Kumshusha Mchawi Kwa Maombi Inabidi Ujitoe Kweli
ukilegeza Ujue Umebeba Wachawi Wa Mtaa Mzima
Cha Muhimu Mchukue Mjomba Na Ukamtibie Kimaombi
We Jilinde Ila Husihitaji Kisasi Na Mchawi Kama Imani Yako Siyo Imara
Mkuu vyote ninavyo ..sema huyu mama watu wamenijulisha huwa hashindwi kitu akiamua anaweza kuua ukoo woteNdugu yangu acha fikra potofu fuata taratibu za kisheria ,anzia kwa mjumbe kisha serikali ya mtaa ikishindikana peleka kesa mahakamani, ila hakikisha una makaratasi yanayothibitisha umiliki halali wa hilo shamba
sikushangai kwa sababu umeamua kuwa upande uliopo,siku tutakua pamoja utakapo amini MUNGU yupo..
sawa wewe habari kuhusu Afrika kutoendelea kwa sababu ya kuamini MUNGU na uchawi umezitoa wapi.?
Anko wangu hakua na matatizo hata kidogo....alinza kuugua baada ya kurushiana maneno na huyu mama...ghafla akaanguka na kupooza mwiliHatutapata majibu kwa sababu hakuna majibu. Hakuna majibu kwa sababu hakuna mungu.
Mtoa maada anahitaji msaada.
Anahitaji msaada wa elimu.Elimu ya kuelewa kwamba uchawi ni stories tu, na anko wake anaweza kuwa kafariki kwa cardiac arrest au ugonjwa mwingine tu unaoweza kumuua mtu ghafla akiwa katika mshtuko/mabishano yanayoweza kumhamanisha mtu.
Nimeuliza hapa, wanaokimbilia kusema habari za uchawi hata post mortem wamefanya?
Sijajibiwa.
Afrika tunashindwa kuendelea kwa sababu za kuendekeza ujinga kama huu wa kuamini mungu na uchawi.
Utafiti sikufanya ila nilipewa taarifa na wanaomjua mama huyu tabia zake.....Tukiongelea kwenye thread hii tu.
Kwa mleta mada.
Mjomba kaanguka, watu hata uchunguzi hawajafanya, wanakimbilia kusema habari za uchawi.
Tutaendelea vipi wakati hatutaki kuchunguza vitu tunataka kutoa majibu mepesi mepesi tu?
Anko wangu hakua na matatizo hata kidogo....alinza kuugua baada ya kurushiana maneno na huyu mama...ghafla akaanguka na kupooza mwili
Utafiti sikufanya ila nilipewa taarifa na wanaomjua mama huyu tabia zake.....
Kabla ya kuzama ndani tafadhali nifahamishe uelewa wako...kuhusu yafuatayoUnajuaje kwamba hakuwa na matatizo hata kidogo?
I am not here to judge him. Mwenye thread kaomba msaada, unacho takiwa ni kumsaidia na sio kumpiga vita.Uhusiano wa mwombaji na Yesu ukoje, ndilo jambo la msingi kwanza. Then maombi!