Msaada: Ninayempenda have jorned my heart

hamna cha standard english wala cha nin nimesoma seminar miaka saba ila hiki ulichoandika unamix maneno ya english na kiluga chako unachanga changaya wew

mkuu mother tongue yangu ni kiswahili,naomba uangalie kama kuna neno lolote la kiswahili hapo.ni standard english ila pia pole kama itakuwa hauja nielewa.pole sana mkuu
 

Feg,, fag,, faggot!!
 
sasa hiyo ndo nini?hucho kiitaliano au kiebrania?maana hakieleweki
 
Mzee mwenzangu unanionea bure tu....

Mi niko bize huku napiga zoezi la kuhesabu kura za Edoboy

Mzee mwenzangu Asprin angalia hao vijana hapo pembeni wameweka kura kwenye hotpot aise na chupa za chai na chai yao wameweka kile cha Arusha ukinywa unalala fofofo
 
Last edited by a moderator:
naona watu hawaja kuelewa natoa msaada wa kutafsiri thread yako kwa kiswahili:-

mimi ni kijana ninaye ishi na mke wangu, lakini tatizo kubwa ni kwamba jogoo langu halipandi mtungi hii hupelekea mke wangu kutoka nje ya ndoa, inaniuma sana lakini ndoivyo tena mkufu hausimami na pia kinachoniumiza zaidi mimi ni domo zege hivyo itakuwa vigumu sana kupata mwanamke mwengine maana hata huyu nilitongozewa.
ushauri jamani, ni endeleenae au niachanenae?

nisaidieni jamani!!!
 
Hahahahaaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…