Msaada: Ninataka kufuga nyoka, wapi nitaweza kununua au kupata nyoka

Hapana, hii kitu naitamani sana, japo changamoto zipo ila nikipata wataalam nadhani ntaweza kufanikisha...
Kuna jamaa huku alikuwa na chatu wakuchezea wale waliotolewa meno..

Jamaa aliwafungia kwenye chumba akasafiri,yule jamaa sijui alikumbwa na nn alichelewa kurudi mpaka wale nyoka meno imewaota ,njaa wanasikia Kali

Wakawa wanatoa milio tu muda wote ,wanatuna ..wapangaji wa ile nyumba waliwaita Mali asili waje kuwachukua

Kuwa care ukitaka kuwafuga hawa wild animals
 
Kuna mengi ya kujifunza hapa, mmenena yale yaliyo halisi, nitafuatilia hili suala hasa huko maliasili kwa hao wataalamu!
Kile nitakachopata nitaleta mrejesho hapa
 
Shangazi wa NSUNGWI JUU.
 
Kwa maitaji ya nyoka wa haina zote nenda Tabora wapo kwenye mafungu kabisa
 
Hawa paka wa siku hizi ni wakibisa kabisa bora nifuge Njerege tuu.

Paka wa siku hizi wamezoea kukaa kwenye masofa wakiangalia Tv alafu panya akipita anaishia kumtazama tuu,
Ah ah ah ab ah ah

Paka inadepend na unavyo mlea huwa niwaelewa sanaa

Mleavyo ndio akaavyo maana wanaakili
 
Ahahahaaa ni kweli itakuwaje mtu kufuga nyoka kisa ndani kwake kuna panya au mende???
 
Nauza nyoka wangu yupo kijijini kama uko vizuri tuongee bei
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…