Msaada: Nina udomo zege usiopimika

Msaada: Nina udomo zege usiopimika

Ha ha mkuu huwezi amini ni moja tu nayo sikutumia maneno bali nguvu..
Alijua kabisa mi nataka halafu anauliza unataka nini..?!! Nikaona isiwe tabu nikakumbuka ule usemi "mwanaume utakula kwa jasho lako" nikaona sasa muda muafaka wa kulitumia jasho nikambeba kinguvu nachoshukuru alikuwa hapigi hata kelele..
Hahaha wewe jamaa kwa chai tu shikamoo ... 1 tu !?

Mimi ni mod ujue ngoja ni screenshot text zako pm kisha nikutumie huko huko
 
Ha ha mkuu huwezi amini ni moja tu nayo sikutumia maneno bali nguvu..😂
Alijua kabisa mi nataka halafu anauliza unataka nini..?!! Nikaona isiwe tabu nikakumbuka ule usemi "mwanaume utakula kwa jasho lako" nikaona sasa muda muafaka wa kulitumia jasho nikambeba kinguvu nachoshukuru alikuwa hapigi hata kelele..😂😅
😂😂😂lol wewe
Ubakaji huo Sasa kenzy🙄
 
Hahaha wewe jamaa kwa chai tu shikamoo ... 1 tu !?

Mimi ni mod ujue ngoja ni screenshot text zako pm kisha nikutumie huko huko
Wacha vitisho weye.. unaona ajabu ipi kwa Mara moja tu!
Hivyo unataka niambia hata mapadri wananishinda..😂
 
lol wewe
Ubakaji huo Sasa kenzy
Asilimia kubwa ya wanaume wa-tz tumewahi kubaka na wanawake wamewahi kubakwa ( endapo tukifuata mujibu wa sheria )

Unakutana na binti unaingia nae room mkifika huko baada ya story 2 3 anajifanya hajui kilicho mleta ukimuomba mambo anajifanya kuanza kutoa visingizio kibao (kumbe ni sitaki nataka)
Hapo sasa ndio huwa wana karibishwa kubakwa

Tafadhali naomba msiniulize nimejuaje
 
😂😂😂lol wewe
Ubakaji huo Sasa kenzy🙄
Angepiga kelele sasa kama ulikuwa ni ubakaji!!

Sasa mi maneno yaliisha nifafanyaje na alijua kabisa nataka nini.. uzuri nishajijua mbinguni siendi Sasa ukishajua hilo kwanini nilinge kufanya dhambi..!
 
Wacha vitisho weye.. unaona ajabu ipi kwa Mara moja tu!
Hivyo unataka niambia hata mapadri wananishinda..
Hahaha wee nyau kweli .. Kwahiyo kwa hizi esopo zako kuwa utanidanganya ??

Waweza kukuta hapo ulipo una comment huku unasubiria mtoto mkali aje gheto ili mfanyane
 
Asilimia kubwa ya wanaume wa-tz tumewahi kubaka na wanawake wamewahi kubakwa ( endapo tukifuata mujibu wa sheria )

Unakutana na binti unaingia nae room mkifika huko baada ya story 2 3 anajifanya hajui kilicho mleta ukimuomba mambo anajifanya kuanza kutoa visingizio kibao (kumbe ni sitaki nataka)
Hapo sasa ndio huwa wana karibishwa kubakwa

Tafadhali naomba msiniulize nimejuaje
Umeanza kujitaja rangi Sasa..😂👍
 
Hahaha wee nyau kweli .. Kwahiyo kwa hizi esopo zako kuwa utanidanganya ??

Waweza kukuta hapo ulipo una comment huku unasubiria mtoto mkali aje gheto ili mfanyane
Huyo mtoto mkali labda aje nimfundishe ma sayari na manyota a.k.a ma black holes!!
Siku nikipata bahati hilo walahi navaa suti..😂
 
Hii mbona ni kahawa Mimi nimeistukia kitambo

Mtoa mada huwa ana bishana huko na huko katika majukwaa mbali mbali halafu hapa ana jifanya domo zege

Waweza kukuta Pm yake imejaa ..mpaka uwanja wa kuandikia text hakuna
Kumbe ni ya kuchangamsha jukwaa hii
 
every human being is endowed with ability to express his or her feelings...huwa siaminigi udomo zege Inshu ni je huyo naye ana feel unavyofeeel oooh I remember men lead the way.....good luck
 
Asilimia kubwa ya wanaume wa-tz tumewahi kubaka na wanawake wamewahi kubakwa ( endapo tukifuata mujibu wa sheria )

Unakutana na binti unaingia nae room mkifika huko baada ya story 2 3 anajifanya hajui kilicho mleta ukimuomba mambo anajifanya kuanza kutoa visingizio kibao (kumbe ni sitaki nataka)
Hapo sasa ndio huwa wana karibishwa kubakwa

Tafadhali naomba msiniulize nimejuaje
😂😂😂😂lazima nikuulize umejuaje na wangap umewabaka
"Kunalile swali la unataka kufanya Nini🤷
 
“watu tumesha data na hili getto lifestyle, shata bad drey na uneli wa x-plasta.

Hey dark-master ntembezee chata, kisha nipe kipaza nihubiri kama pasta."
 
Back
Top Bottom