Msaada: Nina udomo zege usiopimika

Msaada: Nina udomo zege usiopimika

Hii mbona ni kahawa Mimi nimeistukia kitambo

Mtoa mada huwa ana bishana huko na huko katika majukwaa mbali mbali halafu hapa ana jifanya domo zege

Waweza kukuta Pm yake imejaa ..mpaka uwanja wa kuandikia text hakuna
Kuna tofauti kati ya fujo za ana kwa ana na zile za kujificha mkuu..

We huoni hata yule anaejiita kigogo anavyoisumbua cherikali.. lkn si kajificha..😅
 
😄😄
Uje nikupe dawa ya udomo zeee
😲😲
He he! Hizi mbinu hata bibi yangu alikuwa akizitumia ananidanganya nikiingia kwenye 18 nachezea kisago kikali halafu kosa ati nimekomba mboga yote ya usiku hivyo watalala njaa!!
 
😲😲
He he! Hizi mbinu hata bibi yangu alikuwa akizitumia ananidanganya nikiingia kwenye 18 nachezea kisago kikali halafu kosa ati nimekomba mboga yote ya usiku hivyo watalala njaa!!
😄😄😄we njoo tu utakuja kutoa mrejesho huku
 
Maneno mengi ya nini? Kwani unaomba AJIRA? 😜 Mwambie tu UNAMPENDA na kutaka awe mpenzi wako. Kwisha kazi.

Unataka KUREMBA REMBA mwisho unapata KIGUGUMIZI au kuwa Bubu 😂😂😂😂😂
He he! Mkuu mwanamke ni kiumbe Cha kubembelezwa unaweza katwa maini kwa majibu ya hovyo usipokuwa makini.. hapo anaweza kukujibu "KWAHIYO"😂
 
Wacha Bwana
Usinambie mashairi yote haya Domo lako lina zege
Mama ushairi kitu gani mbele ya kazi iliyonakshiwa kwa ustadi na muumba😅
Ushairi unatamba huku tu ila huko mitaani hawajui kama mi hata ni mshairi!.. wanaona ni jamaa fulani tu ambae kwenye msafara wa mamba na kenge tumo..😅
 
Back
Top Bottom