Msaada: Nimetumiwa pesa kimakosa

Msaada: Nimetumiwa pesa kimakosa

Tafadhali mkuu....
Boss kwa ufupi tu. Hiyo hela hapo ndo imefika labda mwenyew aripoti nmb wairudishe tofaut na hapo hauwezi irudisha. Ukipiga simu Voda CC watairudisha lakini haitafika nmb ila itaishia katikati mda wote tunaita (collection account) ,nmb wataivuta kutoka hyo akaunt endapo tu wana namba ya account ilipotokea na wewe huijui coz itakubidi uwapigie na uwatajie acct number of which wewe huijui ila una business number tu hapo hyo 556677 na siyo account number , so kwa vyovyote vile haitaweza kumrudia muhusika pasipo mtumaji kutoa taarifa Voda au nmb Cc. Tulia ikifika zaid ya siku tano tafuna. Full stop
 
Mkuu naona ujanielewa. Yule alietuma hela anajuw jina lako halisi. Na huku amejuw jina unalolitumia. Hapo umenisoma vizuri? Anaweza akatuma makusudi ili uje huku utanganze.
Umetisha mkuu
 
Boss kwa ufupi tu. Hiyo hela hapo ndo imefika labda mwenyew aripoti nmb wairudishe tofaut na hapo hauwezi irudisha. Ukipiga simu Voda CC watairudisha lakini haitafika nmb ila itaishia katikati mda wote tunaita (collection account) ,nmb wataivuta kutoka hyo akaunt endapo tu wana namba ya account ilipotokea na wewe huijui coz itakubidi uwapigie na uwatajie acct number of which wewe huijui ila una business number tu hapo hyo 556677 na siyo account number , so kwa vyovyote vile haitaweza kumrudia muhusika pasipo mtumaji kutoa taarifa Voda au nmb Cc. Tulia ikifika zaid ya siku tano tafuna. Full stop
Sawa mkuu, nitaleta mrejesho baada ya siku hizo tano
 
Mkuu kweli kabisa, mimi nasomesha mtoto wangu baada ya kunyimwa mkopo na serikali kuna siku kaniambia kaishiwa hela ya kula haraka nikatuma hela bila kuangalia namba vizuri ikaenda kwa mtu mwingine kidogo ni paralyse. Lakini bahati nzuri aliyepokea akanirudishia bila shida. Ni mzee mpaka leo ni Baba wa hiyari nampa chakula nikipata. Kuna mwingine kazima simu sababu 10000/- yaani huwa namdharau sana.
sympathy inatakiwa sana,vaa uhusika wa mwenzio ndio iwe inakutokea wewe,umefanya vizuri sana mkuu kumkumbuka mzee
 
Asante kwa maneno kuntu mkuu, ebu ngoja nifanye subira
fanya tuu mkuu,60 kwa usawa huu wa Magu ni pay ndefu ila ni pay ndogo sana pia,utaitumia na haitakufikisha popote mkuu,we vuta subira tuu kama ndio riziki yako itajulikana
 
Usiile hela ya watu mkuu, iache, ripoti wai reverse...safi kabisa..
 
Back
Top Bottom