Hata ingekua na zero mkuu, kwangu haijalishi kwasababu siitumii m-pesa account.Akaunt yako ilikua na sh 23
Half umepata neema hio bado unaitangaza![]()
Nikweli mkuu... haya mambo hutokea sana katika jamii tunayo ishi nayo. Najaribu kuwaza kama pengine kuna watu walikosa chakula ama palikua na mgonjwa na huu muamala walikua wanausubiria ili waokoe jahazi.....Mkuu safi sana kwa uaminifu wako. Niliwahi kutumiwa kimakosa pesa Kumbe ni ada ya mtoto, yule mama hakuamini km ningemrudishia!
Mpk leo yule mama ni dadangu wa kutukuka! Na juzi tu hapa nimetumiwa gallon la asali!
View attachment 645338
Alituma kupitia NMB.
Ilikua mida ya saa tatu asubuhi.
Wakuu, nineaubiria kushika sim ya aliekosea hadi sasa holla.....
Msaada tafadhali
Naona 2017 imegeuka 2007Hofu ondoa mkuu, sijawahi kupenda kujiweka matatani tangu nilipo jiunga jambo forums 2007. Na hii imenifanya nikaamua kuweka ushahidi hadharani.
Kikubwa ni itaje namba ulio itumia fedha kimakosa, na nitakurejeshea
Ndio mkuu, hapa leo sina hata pesa ya kupata mlo wa usiku wa leo.Hahahaha! Kweli Magufuli kakaza. Yaani ulikuwa umebaki na balance ya Tshs 23? Naona Santa Kilausi kakuonea huruma babaangu eeh 😀😀😀😀
View attachment 645987
Hahahaaa pole sanDah kweli tupo tofauti. Mimi nmepokea 32000 hapa nisijue nani kanitumia c nimehamisha m-pawa mda tu bro anantumia text hyo ela ya begi kamnunulie Dogo ...nmebaki mdogo kama piritoni. Maisha haya jamani kila mtu anawaza lake hasa kipindi hichi vyuma tight .
Dah kweli tupo tofauti. Mimi nmepokea 32000 hapa nisijue nani kanitumia c nimehamisha m-pawa mda tu bro anantumia text hyo ela ya begi kamnunulie Dogo ...nmebaki mdogo kama piritoni. Maisha haya jamani kila mtu anawaza lake hasa kipindi hichi vyuma tight .