Onyix
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 682
- 793
Hhahahaaa usione anaomba ushauri hapo.. Hata yeye anasubri ikipigwa ikipigwa kimya nae anapiga kimyaEbu nitumie mie hiyo hela mie comredi
Hhahahaaa usione anaomba ushauri hapo.. Hata yeye anasubri ikipigwa ikipigwa kimya nae anapiga kimyaEbu nitumie mie hiyo hela mie comredi
Be serious mkuu
Asante kwa maneno kuntu mkuu, ebu ngoja nifanye subiraWatu waungwana wanaojua uadilifu ni nini huwa wanasema ukiokota kitu cha mtu,unatakiwa usubirie hadi mwezi ili mwenye chake akikute,Mkuu yeye bado hajaundua kuwa amekosea kutuma,atagundua baada ya kuwasiliana na muhusika
kuna siku mimi nimelala nilikuwa sina pesa hata kidogo siku hiyo,asubuhi saa kumi na mbili mtu katuma laki mbili na nusu kwenye simu ya wif,wakati tunatafakari nani katuma pes hii,akapiga mwenye kukosea akasema samahani ndugu yangu nilikuwa natuma muhimbili kwa mgonjwa kwa hiyo naomba unisaidie,nikamwambia hii ni pesa yako haijalishi ulikuwa unatuma kwa nani,nikamrudishia mwenye nayi
Siku tano baadae na mimi nikakosea kutuma 50000,pia nilirudishiwa ki roho safi bila kusumbuliwa,As you do,you will done
Sawa nitarejea kimakosaMkuu....
Ebu rejea kwenye attachment tafadhali
Nenda Nmb, urudishe hiyo pesa kwa mhusika. Kuna faida kubwa sana kwako ukirudisha hiyo kuliko ukibaki nayo na kuitumia....View attachment 645338
Alituma kupitia NMB.
Ilikua mida ya saa tatu asubuhi.
Wakuu, nineaubiria kushika sim ya aliekosea hadi sasa holla.....
Msaada tafadhali
Akiituma kwangu ujue itakuwa salama zaidi kuliko abaki nayoHhahahaaa usione anaomba ushauri hapo.. Hata yeye anasubri ikipigwa ikipigwa kimya nae anapiga kimya