Msaada: Nimetumiwa pesa kimakosa

Msaada: Nimetumiwa pesa kimakosa

kuwa mpole tu, mi ishawahi ingia 1M enzi hizo, kucheki jina la mtumaji silijui, nikakaa kama masaa 6 hivi sioni mtu kulizia, nika test kununua bando la 50000 ni GB 20 voda kwa mwezi, ... kukaa kidogo mara paaaaap mother anapiga kunipa maelekezo pa kuipeleka hiyo hela wakati nishaapanga nimalize within a week,
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Pole kwa kupitiwa na shetani
 
Mkuu big up, kwa usawa huu jinsi vyuma vilivyokaza unastahili pongezi na kama unaishi Chato ninauhakika unamkubali JPM. Kwa ajili ya huu moyo wako nitampa kura 2020.
Sio lazima ampende huyo mtu! Mimi binasfi sitaki hata kumsikia na ni kabila langu lakini miezi 2 iliyopita nilitumiwa kimakosa katika account yangu pesa nyingi tu karibia milioni 1 na hapa nilipo ninashida kibao lakini niliamua tu kuziacha humo bila kupunguza hata cent 5 ili mwenyewe awasiliane na bank achukue pesa zake na ndivyo ilivyokuwa ingawa nami pia nilikuja humu jf Kuomba ushauri kwa kusingizia ni ndugu yangu ndio katumiwa pia nilisema ni laki 5 tu ili nione akili za watu.

Kutumia pesa ya mtu usiyoifanyia kazi ni dhuruma hata kama utajifanya kuitumia alafu uwe unakatwa.
 
Akaunt yako ilikua na sh 23[emoji15][emoji15]
Half umepata neema hio bado unaitangaza[emoji15][emoji15]
 
assume hiyo hela alikuwa anamtumia mchepuko, huku akiwa ameacha mkewe na watoto kwenye hali ngumu hapo ndiyo hautamonea uruma na kuirudisha
Na km ni mchango wa mgonjwa baba ake je? Wengine mda wote mnawaza negative tu
 
Back
Top Bottom