Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Huo ni uoga! Woga ni matumizi mabaya ya ubongo wako! Boss akinijaribu kwa kutuma pesa ktk simu yangu anakuwa anakosea! Kwani akiniambia sio mwaminifu na je nikimwambia bado ninayo nasubiri mwenyewe ajitokeze?Kama umewahi fanya interview yoyote rudisha hizo pesa NMB kwa usalama wa ajira yako ijayo.
Mkuu, sina mpango wa kuitumia fedha ambayo haikuwahi toka kwenye jasho langu.Nenda Nmb, urudishe hiyo pesa kwa mhusika. Kuna faida kubwa sana kwako ukirudisha hiyo kuliko ukibaki nayo na kuitumia....
Basi sawa!Mkuu, sina mpango wa kuitumia fedha ambayo haikuwahi toka kwenye jasho langu.
Nipo mbali na NMB, na hii ndio sababu ilio nifanya nikuje hapa kutafuta wepesi.
Ivi alietuma hajaona jina lako? Kwa nini ujianike ivi? Kule ameona jina lako halisi huko umetangaza kutumia jina lako tunalolijuwa humu. Hapo kweli upo sahihi?View attachment 645338
Alituma kupitia NMB.
Ilikua mida ya saa tatu asubuhi.
Wakuu, nineaubiria kushika sim ya aliekosea hadi sasa holla.....
Msaada tafadhali
Mkuu, ebu tazama nilicho kiambatanisha tafadhali.Ivi alietuma hajaona jina lako? Kwa nini ujianike ivi? Kule ameona jina lako halisi huko umetangaza kutumia jina lako tunalolijuwa humu. Hapo kweli upo sahihi?
TehToba.....![]()
![]()
![]()
Mkuu big up, kwa usawa huu jinsi vyuma vilivyokaza unastahili pongezi na kama unaishi Chato ninauhakika unamkubali JPM. Kwa ajili ya huu moyo wako nitampa kura 2020.Comrade....
Niweje muaminifu zaidi ya hapa..![]()
![]()
Siyo uoga ni kipimo cha uaminifu, hata kwa nafsi yako mwenyewe.Huo ni uoga! Woga ni matumizi mabaya ya ubongo wako! Boss akinijaribu kwa kutuma pesa ktk simu yangu anakuwa anakosea! Kwani akiniambia sio mwaminifu na je nikimwambia bado ninayo nasubiri mwenyewe ajitokeze?
Mkuu naona ujanielewa. Yule alietuma hela anajuw jina lako halisi. Na huku amejuw jina unalolitumia. Hapo umenisoma vizuri? Anaweza akatuma makusudi ili uje huku utanganze.Mkuu, ebu tazama nilicho kiambatanisha tafadhali.
Hili nalifanya kiroho safi kwasababu ninaujua uchungu wa makosa kwenye muhamala
Ebu ukuje huku haraka kwenye mpesa comrade tunapoongea lugha mojaComrade.....
Dhambi nilizonazo zinanitosha haki...![]()
![]()
Mkuu kweli kabisa, mimi nasomesha mtoto wangu baada ya kunyimwa mkopo na serikali kuna siku kaniambia kaishiwa hela ya kula haraka nikatuma hela bila kuangalia namba vizuri ikaenda kwa mtu mwingine kidogo ni paralyse. Lakini bahati nzuri aliyepokea akanirudishia bila shida. Ni mzee mpaka leo ni Baba wa hiyari nampa chakula nikipata. Kuna mwingine kazima simu sababu 10000/- yaani huwa namdharau sana.Watu waungwana wanaojua uadilifu ni nini huwa wanasema ukiokota kitu cha mtu,unatakiwa usubirie hadi mwezi ili mwenye chake akikute,Mkuu yeye bado hajaundua kuwa amekosea kutuma,atagundua baada ya kuwasiliana na muhusika
kuna siku mimi nimelala nilikuwa sina pesa hata kidogo siku hiyo,asubuhi saa kumi na mbili mtu katuma laki mbili na nusu kwenye simu ya wif,wakati tunatafakari nani katuma pes hii,akapiga mwenye kukosea akasema samahani ndugu yangu nilikuwa natuma muhimbili kwa mgonjwa kwa hiyo naomba unisaidie,nikamwambia hii ni pesa yako haijalishi ulikuwa unatuma kwa nani,nikamrudishia mwenye nayi
Siku tano baadae na mimi nikakosea kutuma 50000,pia nilirudishiwa ki roho safi bila kusumbuliwa,As you do,you will done