Bwana Buddha alikuwa Uhindini huko zamani sana. Sasa uhindini kulikuwa na dinimaelfu kwa maelfu,kila mtu anahubiri dini yake.Tunajifunza mengi kutoka kwao.
Mimi pia nachokumbana nacho sijui nimwamini nani, nisiowaamini hao wapo verified tatizo kujua mtu wa maana wa kwenda nae sasa ni shida. Nimezungukwa sana na watu wanafiki... wanaong'ata na kupuliza kama sijakosea.
Leo yupo nawe kesho anaongea mengine...
Imetulia hiyo mkuu.Bwana Buddha alikuwa Uhindini huko zamani sana. Sasa uhindini kulikuwa na dinimaelfu kwa maelfu,kila mtu anahubiri dini yake.
Watu wakamuuliza, Bwana Buddha, wewe una umakini wa hali ya juu, tusaidie.Tumechanganyikiwa.Kila mtu anahubiri dini yake, dini zina mahubiri tofauti. Hatujui cha kuamini kipi na cha kuacha kipi.
Akawaambia,usiamini kitu kwa sababu kimesemwa na kuhani mashuhuri, wala kwa sababu kinakubaliwa na wengi, wala kwa sababu kimeandikwa katika misahafu mashuhuri,walakwa sababu umeambiwa na unaowaheshimu walimu na wazee. Usiamini kwa sababu kitu ni utamaduni wa muda mrefu.Usiamini hata ninachokuambia mimi. Kipime mwenyewe kwa mawazo yako, kwa weledi. Kwa akili na uchunguzi."
Nashukuru mkuu nimepata kitu.Watu bwana....
Sasa walivyokutenga....
Jua linatoka au halitoki???
Oksijen haipiti puani kwako?????
Masaa ya mchana yamebadilika???
Mwezi hauandami tena?
Maji kupwa nammaji kujaa hayafanyiki tena????
Kwa nini ukise raha kwa sababu ya binadamu?
Kwa nini furaha yako uiweke chini ya mtu mwingine???
Kuwa busy saka maisha tafuta hela.....na kwenye maisha anayeshikana na wewe ndio ndugu yako..... anayekujali kwenye dhiki na maradhi.ndiye ndugu yako......
Maisha ya kuahangaika na watu wasiokuthamini yako wapi?
HAMA CHAMAHabari za wasaa huu wandugu,
Nahisi siko vizuri kisaikolojia naombeni msaada nilitengwa kijamii.Sipati ushirikiano kutoka kwa ndugu, marafiki zangu na jamii yangu kwa ujumla.
Hali hii imenifanya niogope kujichanganya kwa kuhofia kukosa ushirikiano.
Hakuna mawasiliano kati yangu mimi na ndugu zangu nikipiga hawapokei wala hawajibu SMS.I am tortured i need help.
Nimeshindwa hata kusoma na kupata mafanikio sababu muda wote nipo mwenyewe tuu nyumbani. Nawaza hivi nikiumwa ghafla hapa nani atanisaidia?
Nilimgundua mbaya wangu alie block mawasiliano kati yangu mimi na ndugu zangu hawa nikaachana nae sina ubavu wa kumwadhibu.
Mimi kimsingi ni chadema na wengi walitamani niwe ccm ila sitaki hivyo basi sina mda na siasa za Tanzania.
Note: Mimi sina baya lolote nililofanya so msinihisi vibaya bali ni hivo.
Halafu na mimi nikafanye ushetani eeh?HAMA CHAMA
Asante bwana nimekuelewaTafuta pesa utapewa ushirikiano na kiilaaa aloyekutenga, utakua hadi unachagua na wa kufanya nae kolabo.
Pitia comment ya 32 nishaweka waziUkimficha daktar huwezi pona kabsa
Pitia comment ya 32 nishaweka waziItapendeza,ukiwa wazi!
Haina maana umtaje mhusika kwa jina, inawezekana uliyekuwa nae kwenye mahusiano ya uchumba au ndoa, au mambo ya kisiasa n.k..Mkuu mimi nilikua vizuri na jamaa zangu wala sina tatizo ila ni mambo makubwa siwezi kuyaweka hapa.
Kwa nilivyojieleza hapo waungwana natumai mtanielewa.
Siwezi kutajia mhusika kabisa.
basi hamia ccm usitengweHabari za wasaa huu wandugu,
Nahisi siko vizuri kisaikolojia naombeni msaada nilitengwa kijamii.Sipati ushirikiano kutoka kwa ndugu, marafiki zangu na jamii yangu kwa ujumla.
Hali hii imenifanya niogope kujichanganya kwa kuhofia kukosa ushirikiano.
Hakuna mawasiliano kati yangu mimi na ndugu zangu nikipiga hawapokei wala hawajibu SMS.I am tortured i need help.
Nimeshindwa hata kusoma na kupata mafanikio sababu muda wote nipo mwenyewe tuu nyumbani. Nawaza hivi nikiumwa ghafla hapa nani atanisaidia?
Nilimgundua mbaya wangu alie block mawasiliano kati yangu mimi na ndugu zangu hawa nikaachana nae sina ubavu wa kumwadhibu.
Mimi kimsingi ni chadema na wengi walitamani niwe ccm ila sitaki hivyo basi sina mda na siasa za Tanzania.
Note: Mimi sina baya lolote nililofanya so msinihisi vibaya bali ni hivo.
Mkuu ni mkakati mzito mno, wote niliokua na connection nao walikua kwnye black list. Yani ilifikia stage wanangu toka primary school, kitaa na maeneo mengine walikua hawaonyeshi ushirikiano nikaja kugundua ni hawa bwana wakubwa.Haina maana umtaje mhusika kwa jina, inawezekana uliyekuwa nae kwenye mahusiano ya uchumba au ndoa, au mambo ya kisiasa n.k..
Funguka usaidiwe vzur kaka
Siwezi fanya hayo mambo yani nianze tena kusimama against wananchi? how..basi hamia ccm u
basi hamia ccm usitengwe
Nishajifunza kwa mkuu kuna mdau kaniambia hapo nyuma ahivo hivo.Wakati mwingine usioneshe mapenzi yako ya kisiasa Kwa ndugu zako, huwezi kujua hicho wanachopenda kiliwatoa wapi.
Pole sana...Mkuu ni mkakati mzito mno, wote niliokua na connection nao walikua kwnye black list. Yani ilifikia stage wanangu toka primary school, kitaa na maeneo mengine walikua hawaonyeshi ushirikiano nikaja kugundua ni hawa bwana wakubwa.
Niliuma mno ila sio mbaya maisha ya duniani tunapita swala la muhimu kujiwekea hazina mbinguni na ndo nilichobakiza hapa duniani sasa.
Wana haki wakutenge. Mtu na akili yako unakuwaje CHADEMA ?Habari za wasaa huu wandugu,