Msaada: Nimetengwa kijamii

Msaada: Nimetengwa kijamii

Kwa maana hiyo mkuu sisi tulio na misimamo mikali upande wa upinzani hatueleweki?
Kwa sababu kikubwa hapa ni mimi kuwa Chadema.

Nimegundua kuwa tatizo lako kubwa ni kushindwa kutenganisha itikadi yako siasa na maisha ya kijamii

Unataka kila mwanajamii awe na mitazamo kama yako ya kisiasa

Akili yako na nafsi yako haviko tayari kukabiliana na Mawazo yanayokinzana na itikadi yako......

Labda tu nikukumbushe kuwa kuna maisha nje ya siasa
 
Mkuu mimi sio mwanasiasa wala sitakuja kufanya siasa yoyote nchi hii labda nipate uraia nchi nyingine.
Mpaka nimeamua kuja kuomba msaada hapa ni kwamba nipo blocked kwenye nyanja zote za maisha ya mwanadamu.
Kumbuka hapo nimetengwa na watu wangu sasa nitaishie kama si socialize?

Hapo kwenye bold hapana kitendo cha mm kuwa chadema na wengine kuwa ccm au vyama vingine vya upinzani hayanihusu ni maamuzi ya watu kama mimi nilivyoamua, hayo ni mapenzi ya mtu.

Tatizo nchii ukishakua na misimamo dhabiti hasa upinzani basi utaharibiwa tuu kwa kila namna kama unavyoona.
 
Unahitaji msaada mkubwa sana wa kisaikolojia

Una tatizo alafu unakataa tatizo
 
Hakuna mtu anaweza kukushauri nini chakufanya bila kujua UKWELI wa kilichosanabisha utengwe, ulichokieleza hata upande mmoja wa shilingi haujakamilika utashauriwaje?
 
Hujasoma yote mkuu nishaweka sababu, pitia comment namba 32.
 
Mkuu naona ni Malaika tu ndio wataweza kujisaidia, maana hujaweka chanzo na hutaki kuweka na sisi binadamu tunataka kukusaidia ila hatujui chanzo.
 
Dawa ya kutengwa ni kufanikiwa. Ukifanikiwa hata kama baba yako alikususa utaona anajirudisha kujidai yeye ndiye baba yako.

Kwa hiyo wewe tafuta mafanikio kivyako vyako,ukifanikiwa utaona tu watu wanaanza kujinasibu "huyu ndugu yetu".
lakini mkuu upendo wa aina hiyo ni wa asili au unafiki? undugu mzuri ni ule wa shida na raha.
 
Kwenye mazingira yakohumo humo kunamafanikio, hata kuweza kupata mtandao huu kuongea na watuni mafanikio, kuna watu wametengwa kamawewe halafu internet hawana, hawana hata pa kuuliza maswali.
ni kweli kabisa
 
lakini mkuu upendo wa aina hiyo ni wa asili au unafiki? undugu mzuri ni ule wa shida na raha.
Hawa wanaitwa "malaya wa undugu". Wanakutafuta undugu ukifanikiwa ili wamalizematatizo yao kwako,ukiwana matatizohuwaoni.

Hawa dawa yao nikuwafungia vioo.

Mchezaji wa basketball wa Marekani Shaquille O'Neil alitelekezwa na baba yake mzazi,akalelewa na baba wa kufikia aliyekujakuwana mama yake.

Yule baba wa kufikia ndiye aliyemleana kumfundisha kucheza basketball mpaka akaja kuwa star.

Shaquille alivyokuja kuwa star, mara yule baba mzaziakajitokeza eti anadai "huyu mwanangu".

Shaquille akamwambiamimisikujui, baba yangu huyu aliyenilea.
 
Pole ila ungesema tatizo la kutengwa kwako ingependeza zaidi........
 
Hawa wanaitwa "malaya wa undugu". Wanakutafuta undugu ukifanikiwa ili wamalizematatizo yao kwako,ukiwana matatizohuwaoni.

Hawa dawa yao nikuwafungia vioo.

Mchezaji wa basketball wa Marekani Shaquille O'Neil alitelekezwa na baba yake mzazi,akalelewa na baba wa kufikia aliyekujakuwana mama yake.

Yule baba wa kufikia ndiye aliyemleana kumfundisha kucheza basketball mpaka akaja kuwa star.

Shaquille alivyokuja kuwa star, mara yule baba mzaziakajitokeza eti anadai "huyu mwanangu".

Shaquille akamwambiamimisikujui, baba yangu huyu aliyenilea.
Nimejifunza kitu, ubarikiwe mkuu.
 
Nimejifunza kitu, ubarikiwe mkuu.
Asante mkuu.

Wenyewe wanaosema Kiingereza wana msemo wao "When life gives you lemon, make lemonade". Yani, maisha yakikupa malimao, usilalamike kwa nini umepewa malimao (makali), hujapewa machungwa (matamu). Tumia hayohayo malimao uliyopewa kutengeneza juisi ya malimao. Utaitoa tu.

Mimi namuheshimu sana Obama, na Mama yake. Obama alitelekezwa na baba yake miaka kibao.Alikuwa na kilasababu ya kujiona fungu la kukosa maisha haya, mtu katelekezwa na baba, familia ya upande wa baba haijui, kalelewa na mama tu.

Lakini kakomaa mpaka kaja kuwa rais wa Marekani.

Damn, I feel like a motivational speaker now.

Mifano ni mingi sana ya watu ambao wanaanza maisha kwa disadvantage, halafu wanafanya hizo disadvantage ziwape motisha kufanya vizuri maishani.
 
Tunajifunza mengi kutoka kwao.
Mimi pia nachokumbana nacho sijui nimwamini nani, nisiowaamini hao wapo verified tatizo kujua mtu wa maana wa kwenda nae sasa ni shida. Nimezungukwa sana na watu wanafiki... wanaong'ata na kupuliza kama sijakosea.
Leo yupo nawe kesho anaongea mengine...
 
Back
Top Bottom