Mwamba1961
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 633
- 417
Walimu bwana 🤐🤐🤐Ila waalimu mna stress sana na kiroho papo. Povu jingi mno
Walimu bwana 🤐🤐🤐Ila waalimu mna stress sana na kiroho papo. Povu jingi mno
Watu wanahama Kwa pesa sio Kwa sababu wanapenda lakini uhamisho umekuwa mgumu na umetengenezewa mazingira ya rushwa sana , tulipo ona ESS tukafikiri tumepona lakini Bado Kuna watendaji (maboss zetu ) wanataka rushwa ndio maana ata kama unavigezo vya kupata uhamisho kwenye mfumo wanaangalia tu maombi yako mfano hiyo wilaya ya NkasiTupunguza hasira,
Watu wanahama...