Msaada: Nimepata mkopo HESLB 7.8%

ni ngumu lakini fanya hivi:
nenda chuoni endelea na masomo! lile bumu la kwanza (nadhani ni laki sita na ushee) lipia ada nusu semister wakati huohuo ukiendelea na michakato ya kukata rufaa. ukibahatika mkopo wako unaweza kubahatika!

shukran sana mkuu.
 
watanzania c wamekataaaa elimu bureee hua ndo matunda yake
Na nyie loans bords ni bora usimpe MTU mkopo kabisa kuliko kusema mmempa
 
Private mlizosoma o level na a level ndio matunda yake hayo..wakati ss tunakomaa na kata ninyi mkajitia mnazo...

Wacha sie sasa tupigwe mia
 
ile meals and accomodatn na tchng practical kata uko
jilipie nashukuru Mungu ww
 
Wanafunzi wengi wamelimwa kwenye tuition fee ili na wengine wapate. Yule mr kuchekacheka amekomba fedha zote...
 
Mdogo wangu kapangwa BA education na ada yake ni 1250000 cha ajabu akapata mkopo wa 30,000/-. What is it
 

Hapa kazi tu daah

Hahahahaha

Tutaisoma namba .
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahahah

Dunia ina watu wa ajabu khaa!!
 
kuna mdau hapo katolea ufafanuzi yaweza kuwa ni kweli. karo yako ya advance kama ipikuwa 1100000 basi wametumia hiyo formula. lakini inasikitisha sana
 
Jaman wakuu mambo vp?naomba kujua kama umepata mkopo na ukapata chuo,je ukiahirisha mwaka wa masomo mwaka unaofata unaweza kupata mkopo??
 
chukua karo yako ya advanced minus karo ya chuo chako kipya! Then ndio utakayolipiwa! Mfano kama advanced ulilipa karo 1300,000/- then chuo ni 1.2 then 1.3 - 1.2 utapewa laki tu.
Advance karo ilkua milion 4, chuo ada mil 1, 4mil-1mil=3mil,
umekosea mkuu, viceversa z true.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…