Msaada: Nimelala na wanawake wengi sana

Kwamba idadi ya wanawake aliogegedana nao ni chache kulingana na umri wake mkuu?

Aongeze idadi eti eeeeeh?[emoji3][emoji3]

Safi sana
 

[emoji23][emoji23][emoji23] wana jf bhna
 
Nina tatizo moja naweza kumtamani mwanamke na nikamwambia kabisa naomba uwe mama mtoto wangu.alishakubali nikishasex nae namkinai ile hamu ya kuzaa nae tena ina inapotea.hivyo ikitokea akaniambia ana mimba namwambia katoe
Kumbe mzee baba unauwezo wakuzalisha kabisa ushauri usitoe mtoto ni kosa la jinai na pia ni dhambi kwa mwenyezi Mungu Unaweza ukaashibiwa kwakufanya hiki kitendo, kwanza nikupongeze kwa kuwa muwazi kwenye Hili na mengine ulioandika kwenye mada yako.

Ushauri wangu kwako jambo la kwanza katubu kanisani kwenye misa Hii dhambi ya kutoa mimba na mengine ukiwa na sadaka yako inenee maneno yakujutia dhambi ulizofanya ukimuomba Mungu akusamee na akuepushe na laana ukitumia baadhi ya mistari kwenye biblia.Hili ulilisahau kabisa fanyia kazi kabisa utakuja kunikumbuka.

Jambo la pili unapokuwa na mwanamke jitahidi umueleze kabisa kama una nia ya kuzaa nae au huna nia ya kuzaa kwa wakati husika before ujasex nae itakusaidia Sana na hata yeye mwanamke atajizuia kutopata mtoto na kama yupo kwenye siku zake za hatari atakuambia kabisa na akikumbia hivyo inabidi uheshimu usifanye mapenzi nae au ukifanya nae mapenzi usimkojolee ndani ya uke wake
mpwayungu village
sophy27
binti kiziwi
 
Ukilala na hao malaya waga unakumbuka condom au ni ivyohvyo tu
 
Mtoa mada unajitunza Sana,
Wanawake 160, umri miaka 33 upewe upadri kabisa[emoji4]
 
Ingekuwa ni Forever Living bro sasa hivi unakula faida tu, maana una matawi ya kutosha.
 
Hiyo si ndio huwa mnaiita necha yenu iweje tena utake kushauriwa? 🤔
 
Na hapo unakuta una miaka 24, kazi iendelee mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…