Msaada: Nimelala na wanawake wengi sana

Mtoto unapata kama kawaida ukitulia na ukaacha huo uharamia,tafuta mwanamke mmoja tuu japo sio rahisi
Ninae ila bado napata shida.hivi yupo kwenye mfungo ila nishalala na malaya 5 na mwezi haujaisha
 
Safi sana kitukuu cha Suleimani
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we bure kabisa
Kapime kwanza alafu tafuta mwanamke mmoja pekee wakuanza nae maisha I hope huyo ndio anaweza ukuzaa nae may be hao wanawake uliofanya mapenzi walikuwa wanajizuia nakupata mimba au wengine wamepata ila hawajakupa taarifa kabisa haya yote yanategemea je wewe ulikuwa teyari umeonesha nia yakuhitaji mtoto na umeongea na hao wanawake unahitaji mtoto before ujasex?ebu nijibu jibu langu kwanza
 
Fata huu ushauri halafu mjibu swali lake
 
Nina tatizo moja naweza kumtamani mwanamke na nikamwambia kabisa naomba uwe mama mtoto wangu.alishakubali nikishasex nae namkinai ile hamu ya kuzaa nae tena ina inapotea.hivyo ikitokea akaniambia ana mimba namwambia katoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…