Existentialist
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 554
- 377
WanaJF polen na majukumu..
Naomba msaada kwa yeyote anaeifahamu hiyo namba hapo juu.
Naomba kujua ni ya company gani?? maana nimekuta missed calls zake kwenye simu yangu ukiipiga inaonekana iko kwenye fax