Pole na hongera
Kazi ya bank sales lengo kuu ni kufikia target ya mauzo au kuzidi
Unauza nini ? Bank products
Bank products ni zipi kama bank account, insurance, na nyinginezo
Kwenye kazi yako wewe ni kufungua akaunt mpya za wateja na kuleta wateja wapya ikiwa una ushawishi kwa wateja utakaowapata,
Malipo ni kulipwa kwa commission zipo bank watalipa 1,500 per akaunt au zaid ya hapo.
Bank kubwa ni NMB, CRDB, NBC, EXIM, EQUITY, STANDARD, STANBIC
Bank ndogo au za kati ni DCB, DTB, AKIBA, ACCESS, LETSHEGO, MWALIMU, ECO BANK, KCB,
Sio zote zenye kuhitaji watu wa kufungulia akaunt nyingn zinafanya kazi kimya kimya kama I&M BANK, BARODA, UBA
Kila la khery