Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,220
- 5,626
30th September 2013?
Hapana mkuu kuweka vile ni kumuonesha ile namba ni ya wapi
30th September 2013?
Ujue me huwa nashangaa,inakuaje mtu unatafuta kazi then unakaa mbali na simu yako?ona sasa kama wewe ushapishana na gari la mshahara.