😀😀😀😀Vilikuwa vitano vinne kishakutilia kwenye chakula hicho ndiyo cha mwisho.
Peleka kwa siiro akakitambue!Mkuu imegoma ni txt apa nikutumie ili iki upload 0620530867
Acha woga Kijana funguwa hicho kibahasha utakuta hakuna cha maana zaidi ya unga uliotokana na Gunzi lilichomwa jikoni na kusagwa, watakuwekea na Manyoya ya Mbuzi, na mwisho watakuwekea maandishi ya Kiarabu ili upanic vizuri siku hizi Uchawi hakuna waliobaki wengi Matapeli tu.., baada ya hapo msubiri mwenye mzigo wake mwambie leo umefungua kistarabu na kuviacha siku akirudia utavimeza vyote hivyo kwakuwa hupendi Ujinga!!!Msaada wakuu hivi iki nn maana yake nimekikuta ndani ya begi la mpenzi wangu tunaeishi nae nyumba moja
NIKILAMBO KIMEFUNGWA NYUZI NDANI KINA KIKAMBA KILICHO FUNGWA MAFUNGU NA VIPEKE VITATU
Hicho kidole chenye ukucha mrefu ni chako??Ukishaattach pia ,,unistue
UPDATES....
Jamaa kanitumia hii PM NA kusema niieweke ,nam nmeiweka km ilivyotumwa.
![]()
Ivo namm nmeiweka km alivyoituma na kudai niiweke .
Kidole kinaonyesha ni mhenga kweli kweliHicho kidole chenye ukucha mrefu ni chako??
Mkuuuu muulize mtoa post.Hicho kidole chenye ukucha mrefu ni chako??
Bila shaka alafu ni ke.Kidole kinaonyesha ni mhenga kweli kweli
Hiko kidole cha ke au me??Ukishaattach pia ,,unistue
UPDATES....
Jamaa kanitumia hii PM NA kusema niieweke ,nam nmeiweka km ilivyotumwa.
![]()
Ivo namm nmeiweka km alivyoituma na kudai niiweke .