Msaada nimekuta hiki ndani ya begi la mpenzi wangu

Msaada nimekuta hiki ndani ya begi la mpenzi wangu

Lol! Kishatishika na leo anaweza kuhama nyumbani. Haya mambo kama ni ushirikina yanatisha sana unaweza kupoteza hata imani ya kuendelea kuwa na mtu.

[emoji23][emoji23][emoji23]usimtishe bwana
 
Ukishaattach pia ,,unistue

UPDATES....

Jamaa kanitumia hii PM NA kusema niieweke ,nam nmeiweka km ilivyotumwa.
8f40e7691e2f2788b765a50cfd3c2933.jpg


Ivo namm nmeiweka km alivyoituma na kudai niiweke .
Ok
 
Wewe huna mpenzi bali unaishi na mwanga. Hapo ujua amshachukua nywele zako kuanzia kichwani hadi expansion joint. Kazihifadhi Moshi anasubiri tu upate pesa. Kumuwacha huwezi au jaribu yakukute
 
Bila shaka ni Dawa za kukuinamisha kichwa chini,Uwe kama zezeta , Umsikilize yeye tu, Usiwajali wala kuwasikiliza wazazi wako , usipeleke matumizi kwa wazazi wako n.k. Kifupi nijaribio LA kukulisha LIMBWATA Kibali ukatae huo ndiyo ukweli na ukweli siku zote ni mchungu, Nakushauri kabla hujaharibikiwa zaidi PIGA CHINI HUYO MSHIRIKINA ,TAFUTA MCHA MUNGU. ACHA KUZOA WANAWAKE HOVYO MITAANI WASIO KUWA NA KAZI HAYO NDO MAMBO YAO. MWANAMKE MWENYE KUJISHUGHULISHA HANA MUDA WA KWENDA KWA WAGANGA. UAMUZI NI WAKO KUSUKA AU KUNYOA. ILA NINGEKUWA MIMI Tangu muda huo sasa hivi angekuwa yupo kwao.
Mkuu asante kwa ushauri
Sasa kama tayari kashaniwekea na kama nijionavyo stl nampenda nn itakuwa solution maana nimekuwa nae kwa muda wa miaka mi3 sasa nn nifanye kama tayari kuna nguvu ya giza
 
Msaada wakuu hivi iki nn maana yake nimekikuta ndani ya begi la mpenzi wangu tunaeishi nae nyumba moja
NIKILAMBO KIMEFUNGWA NYUZI NDANI KINA KIKAMBA KILICHO FUNGWA MAFUNGU NA VIPEKE VITATU
Kirudishe haraka nilipokificha
 
Wewe huna mpenzi bali unaishi na mwanga. Hapo ujua amshachukua nywele zako kuanzia kichwani hadi expansion joint. Kazihifadhi Moshi anasubiri tu upate pesa. Kumuwacha huwezi au jaribu yakukute
Daah mkuu nn inaweza kuwa solution
 
Umeshachezewa tulia tu umalizie hiyo dozi uwe msukule wake wa mapenzi
 
We tayari ushafungwa, cha msingi okoka,
Ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu,watajinyenyekeza na kuacha njia zao mbaya,nami nitasikia kutoka mbinguni maombi yao na kuikomboa nchi yao.
 
Back
Top Bottom