Msaada: Nimejifumanisha mwenyewe

Msaada: Nimejifumanisha mwenyewe

Sio kikao cha kuulizwa mkuu, wanakuja kukukabidhi binti mazima, kama hujajiandaa utajijua mwenyewe, shangazi anaujua mchezo wenu
 
Halafu asingekimbia angezuga ameingia fasta ameona kama wachawi ukaigeuza nayeye angeamini ingeisha usiku huohuo yani
mkuu hali ya kukimbia imenijia ghafla maana alishaanza kupayuka 'we naniiiii... wewe naniiiiii....!!!!!!!" kwa sauti kubwa kabisa..!!!
 
Kumgegeda mpangaji mwenzio au mtoto wa mwenye nyumba ni hatari kwa afya yako.
 
Kataa kabisa sio wewe hata kama amekuona....komaa.
mkuu nimejichelewesha kurudi home nimerudi saa sita... wazee wa kikao wameenda kulala zao ila yule shangazi nimekuta nje aisee alikuwa ananisubiria eti...
 
Back
Top Bottom