Maelezo yako yanatia mashaka.Haujajibu swali LA msingi,UMEJUAJE KAMA BABA MKWE NI MCHAWI?Kama hauko tayari kujibu swali hili basi unachofanya ni fitina ili upate jinsi ya kuvuruga Ndoa yako.Amini utakavyo, lakini bado hujanipa msaada wa nini cha kufanya, hilo ndilo lilikuwa swali langu. Ingekuwa nimeambiwa na mganga japo ningeishia kwa mganga nisingeuliza hapa, ya nini wakati tayari niko kwa mtaalamu? [emoji28]
i know what am sayingonly if you know what you are saying
Anayeamini uchawi haiyamkini naye ni mchawi.Unawezaje kuishi na mume pale unapogundua kumbe baba yake mzazi ni mchawi anayedhuru watu hakika, nawe ulifichwa kila kitu.
Naomba msaada kwa hili
kwa Mungu tu maombi atapigwa na radi ya roho mtakatifuUnawezaje kuishi na mume pale unapogundua kumbe baba yake mzazi ni mchawi anayedhuru watu hakika, nawe ulifichwa kila kitu.
Naomba msaada kwa hili
Ndoa huwa haivurugwi na mtu, huwa wenye ndoa ndio wanaovuruga wenyewe, kama ungesoma vyema toka mwanzo ungepata jibu la swali lako kwamba ilikuwaje, use mvivu mno.Maelezo yako yanatia mashaka.Haujajibu swali LA msingi,UMEJUAJE KAMA BABA MKWE NI MCHAWI?Kama hauko tayari kujibu swali hili basi unachofanya ni fitina ili upate jinsi ya kuvuruga Ndoa yako.
Si kila siku yasemwayo ni maneno matupu, ukweli siku zote hujitenga na uongo.Ni kweli si kila mzazi ni mlezi,lakini mara nyingi unapoamini na kushikia bango madhara yake huwa makubwa na ki uhalisia hamna kitu
Na kutokuuamini hakufanyi uchawi usiwepo si ndio?Anayeamini uchawi haiyamkini naye ni mchawi.
Mashiko unataka umshike nani?Mbona story yako haina mashiko bibie??
Hebu tulie uelezee tatizo lako vzr ili upate msaada.
Yaani mrembo una akili ya machale,huyo atakuwa ni mshirikina tu,kaenda kwa Karumanzira kumloga mmewe,akaambiwa ni kazi nzito sana na tena sana inatakiwa gharama ilipwe kwa papuchi,maana baba wa mme wake ni mchawi wa hatari sana anaweza kumgeuzia kibao.Na kweli maana jiulize utajuaje huyu mtu ni mchawi?
Kaambiwa na Karumanzira.Uligundua vipi?
Kha!kumbe nae mwanga tuKaambiwa na Karumanzira.
Sa unaficha nini? Tiririka tu mamaNimeelezwa na wenyewe baada ya baadhi ya mambo kutokea, series ya mambo kwa hakika, nikisema wenyewe namaanisha baadhi ya memba wa familia, ilitokea jambo katika kulitatua kwao wakataka kujimlisha mimi, katika kushangaa ndio nikatolewa upofu.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Sasa hapo mmeo akirithishwa mikoba ile unakua mke wa mchaw.....pole aisee
Nawewe utakuwa unajua mbona waswas mwingi??Mke wangu umeshafika huku? Una uhakika baba ni mchawi au hisia zako tu?
Tena bonge la mwanga sio mchezo.Kha!kumbe nae mwanga tu
Unafikiri kwa kunijibia utabadilisha ukweli ama utafanya mkwe wangu asiwe mchawi? Uchawi upo na utaendelea kuwepo, na wewe kunikebehi haitakaa ibadilishe ukweli wenyewe.Kaambiwa na Karumanzira.