contagious
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 528
- 344
- Thread starter
- #61
Ahahahah, kwani unafikiri hilo siogopi mshikaji, maana haya mambo hayana formula. [emoji12] [emoji12] [emoji12] niombee aisee sio mambo ya matani haya, ghafla nakuja hapa nalia, ninavalishwa kanikiSasa hapo mmeo akirithishwa mikoba ile unakua mke wa mchaw.....pole aisee