contagious
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 528
- 344
- Thread starter
- #121
Ninaharibu vipi familia iliyokwishaoza? Unafikiri hasira zako kwangu zitabadili lolote? Ama na baba yako naye yumo kwenye makundi haya? Ama ni wewe? Mie sidhuriki na hasira zako na pia hazinipi majibu kipi cha kufanya. Baba mkwe wangu ni mchawi jinsi nimejua haitakusaidiaNyie ndio mnaharibu familia za watu;
huo uchawi ulikuta ameubeba kichwani?
ukute mchawi ni wewe mwenyewe.