Msaada: Nimegundua baba mkwe ni mchawi

Msaada: Nimegundua baba mkwe ni mchawi

Uchawi upon na Mungu anauchukia uchawi mno, ndio maana imeandikwa usimuache mwanamke mchawi kuishi, jiandae na majanga yasiyo katika ndio kinachoendeleaga kwenye familia za wachawi misiba ya kila siku na matukio mabaya, ila usiogope wewe dili na Mungu wa kweli na wachawi waache wadili na mambo yao uone Nani mwisho atashinda, usimuache mumeo wala usiwakimbie maana uchawi haukimbiwi wewe komaa na kuomba tuu mtumainie Mungu utashinda
 
Nimeelezwa na wenyewe baada ya baadhi ya mambo kutokea, series ya mambo kwa hakika, nikisema wenyewe namaanisha baadhi ya memba wa familia, ilitokea jambo katika kulitatua kwao wakataka kujimlisha mimi, katika kushangaa ndio nikatolewa upofu.
Sasa hapo mmeo akirithishwa mikoba ile unakua mke wa mchaw.....pole aisee
 
Naomba nianze na swali ........umegunduaje?
nilitaka kuuliza hata mimi. hz mambo za kupiga ramli zitawadanganya wengi na kuwagombanisha.

Cha msingi muombee aache uchawi kama umehisi/kuju
a yeye ni mchawi.
 
Watu wengi wapo kwenye situation hizo... kujua wakwe ni wachawi ni baada ya wewe kuingia katika familia husika ila bila hivyo ni ngumu kujua... ukizingatia siku hizi tunakutana mjini mjini tu kuchambua koo za watu hou muda haupo..... huwezi kumuacha mumeo eti kisa baba yake mchawi heeee kwan uliolewa na huyo baba? Na je ikitokea akifa si wewe utabaki na mume wako ... sikia kila mtu atabeba mzigo wake ... NENO LA MUNGU LINASEMA HAKUNA UCHAWI WALA UGANGA KATIKA ISRAEL.. sasa wewe piga goti sema na MUNGU kwa imani kwani MUNGU HASHIDWI NA LOLOTE. Komaa achilia maombi ya kutosha... achilia damu ya yesu kwenye ndoa yako kama wewe ni mkristo..yeye mwenyewe atakuogopa.. mimi mama mkwe alinipigia simu akaniambia eti wewe ni mtoto mdogo huwezi shindana na mimi nikamjibu sio mimi nashindana na wewe bali YESU aliyeko ndani yangu ndiye anayekushughulisha.PIGA GOTI FANYA MAOMBI UTARUDI HAPA.
 
Amini utakavyo, lakini bado hujanipa msaada wa nini cha kufanya, hilo ndilo lilikuwa swali langu. Ingekuwa nimeambiwa na mganga japo ningeishia kwa mganga nisingeuliza hapa, ya nini wakati tayari niko kwa mtaalamu?
umenichekesha sana Mkuu, kwa kuwa naona hukasiriki hovyo na unajibu kila hoja naomba nikuulize,

kama Mungu ndie aliyekuambia kwa nini usiendelee kumwuliza nini cha kufanya? yeye ni mtaalamu kuliko mganga yeyote wa dunia hii.

kikikikikkkkk
 
Kama unawatoto kuna ile hofu ya kibinadamu tu unaipata, unajiuliza, why did I end up kwenye familia ambayo utafikiri inamcha Mungu kumbe wameficha mambo ya kutisha? Wapi nilimkosea Mungu mpk anipe huu mtihani! Watoto wangu watapona hili balaa, kwahiyo ni kujiuliza sana lakini siwezi kudiriki kuingia kwa mganga, namwamini Mungu Baba, Mwana na Roho mtakatifu, sitaacha kumwamini lakini nimepata kamshituko kwakuwa si jambo litokealo kwa kila familia. Hata hapa ninapoongea nawe nazidi kupata ahueni ya mshangao niliokumbana nao. Hasira za nini wakati nahitaji msaada wa kuelewa na nguvu za kuzidi kuomba na kumwomba Mungu azidi kunilindia wanangu wasije kuiga haya.
 
Nilikuelewa mamito
 
Ila hakuna ulicjomkosea Mungu bali alikuweka hapo kwa sababu maalumu.
 
Watu wengi wapo kwenye situation hizo... kujua wakwe ni wachawi ni baada ya wewe kuingia katika familia husika ila bila hivyo ni ngumu kujua... ukizingatia siku hizi tunakutana mjini mjini tu kuchambua koo za watu hou muda haupo..... huwezi kumuacha mumeo eti kisa baba yake mchawi heeee kwan uliolewa na huyo baba? Na je ikitokea akifa si wewe utabaki na mume wako ... sikia kila mtu atabeba mzigo wake ... NENO LA MUNGU LINASEMA HAKUNA UCHAWI WALA UGANGA KATIKA ISRAEL.. sasa wewe piga goti sema na MUNGU kwa imani kwani MUNGU HASHIDWI NA LOLOTE. Komaa achilia maombi ya kutosha... achilia damu ya yesu kwenye ndoa yako kama wewe ni mkristo..yeye mwenyewe atakuogopa.. mimi mama mkwe alinipigia simu akaniambia eti wewe ni mtoto mdogo huwezi shindana na mimi nikamjibu sio mimi nashindana na wewe bali YESU aliyeko ndani yangu ndiye anayekushughulisha.PIGA GOTI FANYA MAOMBI UTARUDI HAPA.
Asante sana, umenipa moyo sana, hakika hakuna lililogumu kwa Mungu, nimekuelewa nashukuru sana na nitazidi kuzingatia maombi.
 
nilitaka kuuliza hata mimi. hz mambo za kupiga ramli zitawadanganya wengi na kuwagombanisha.

Cha msingi muombee aache uchawi kama umehisi/kuju
a yeye ni mchawi.
Ungesomaga huko nyumaa hizo text ungeelewa nimejuaje.
 
Back
Top Bottom