Msaada: Nifanyeje niwe mbali na huyu msichana?

Msaada: Nifanyeje niwe mbali na huyu msichana?

Usimuache demu hivihivi tu bila kumla papuchi, atakudharau saana, na muda na juhud za kumfuatilia na kumpata itakua ni bure. Kula kwanza papuch mkuu ndio umuache!
 
Habari wakuu,

Huyu msichana nilianza kuvutiwa nae mwaka 2015 nilikuja kumweleza ukweli wa hisia zangu juu ya kumpenda mwaka 2016 na majibu yake daima hayakuniridhisha sana japo kwa upande wake aliona sababu za msingi.

Kwa kipindi chote baada yapo nimejitahidi kuendelea kumuonyesha upendo wa dhati nikitegemea kuna siku atabadili msimamo wake.

Kiukweli huyu dada nampenda sana sana ila ikafika kipindi nikaona bora life iendelee tu kama Mungu kapanga niwe nae itakuwa.

Wakuu kwanini nakuja hapa..

1.Kuna muda nimejaribu kuwa mbali nae huyu binti lakini bado ameendelea kuhitaji kuwa karibu sana na mimi kuanzia mawasiliano muda wote pia na OUTING

2.Huyu dada nakumbuka nishawahi fanya nae romance mara kibao na mambo mengi kasoro papuchi.

3.Ni mtu ambaye ana wivu mkubwa na mimi na uwa simuelewi hapo.

4.Jambo kubwa linalonifanya nisiendelee kutamani kuwa nae huyu dada naamini kuna mtu anampenda zaidi yangu na huyo mtu ni rafiki yangu pia.

5.Na amekuwa mtu anayelalamika kuwa ananipenda sana na mimi simuamini.

Wakuu mimi SIMUELEWI NYIE MNAMUELEWAJE?

Jambo kubwa nataka niwe mbali nae je itakuwa sahihi na nitawezaje?
Hujapata mtu sahihi Bado. Siku ukimpata hutataka Ushauri popote, bali utakataa kila aina ya Ushauri unaolenga kukutenga na huyo. Acha Kujidanganya. Siku ukifanya naye ngono huyo binti ndipo utakapogundua kuwa hukumpenda kivile
 
Hujapata mtu sahihi Bado. Siku ukimpata hutataka Ushauri popote, bali utakataa kila aina ya Ushauri unaolenga kukutenga na huyo. Acha Kujidanganya. Siku ukifanya naye ngono huyo binti ndipo utakapogundua kuwa hukumpenda kivile
Nakupata mkuu..asante[emoji120] [emoji120] kwani ukimla PAPUCHI Kupenda kunapungua..??
 
Pole sana...

Follow your heart and don't forget to carry your brain with you...

cc: mahondaw
 
Mkuu unacheza vizuri ila umaliziaji ndo mbovu tatizo lipo kwako mkuu jiongeze,dem akikubali romance ukishindwa kula mzigo huo ni uzembe wako.
 
nje ya box,, Kwa Utafiti Nilio Ufanya Wanaume Wengi Wanateswa Na Mapenzi Tena Sana ,, SIZAN KAMA NTAJA WAZA SAAANA ABOUT LOVE MPAKA AGE HII SITALAJI ,,naumiza kichwa about money not any
 
Kama una pesa ya kutumia basi ujue hawezi kukaa mbali na wewe...kwako anakula ila kwa jamaa anapigwa mashine fresh tu mkuu maisha ni kusaidiana
 
Back
Top Bottom