Msaada: Nifanyeje niwe mbali na huyu msichana?

Msaada: Nifanyeje niwe mbali na huyu msichana?

Mara nyingi mimi na ukijaribu kunichunguza mara nyingi uonekana kama mpenzi wangu ila yeye kubakia na kusema mimi ni rafiki yake

Umeshawahi kuwa na demu na mkawa mnafanya mapenzi?

Jamaa bana, yaani unataka apanue akwambie haya ingiza!

Utasubiri sana na mwisho jamaa yako atagonga mzigo kwa wewe kushindwa majukumu yako.
 
Back
Top Bottom