Msaada: Nifanyeje niwe mbali na huyu msichana?

Msaada: Nifanyeje niwe mbali na huyu msichana?

nje ya box,, Kwa Utafiti Nilio Ufanya Wanaume Wengi Wanateswa Na Mapenzi Tena Sana ,, SIZAN KAMA NTAJA WAZA SAAANA ABOUT LOVE MPAKA AGE HII SITALAJI ,,naumiza kichwa about money not any
Hongera kwa kukoment[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Pole sana kwa kuumia ila usikate tamaa huyo dada anakupenda, ni wewe tu hujiamini na hauko serious.
 
Huwa tunaita 'mshika pembe'. Yaani mtu unakuwa nae mda mwingi, ila kula wanafaidi wengine.
 
Ushauri:

°Katika hali ya sintofaham/dilemma FUATA HISIA ZA MOYO WAKO.

°Bila shaka unajisikia vibaya kukosa P*puchi au unahisi hayupo radhi kukupa wew au Anampa rafiki ako/atampa kirahisi tu(umesema anampenda rafiki yako),sasa ACHANA NAE KWA KUMWAMBIA UKWELI-Usiweke mazingira ya kumuumiza(maana nawe utaumizwa -Revenge heals no one)

NB😛IMA URAFIKI WAKO NA MSHAKAJI WAKO-NA MKIGOMBANA KWASABABU YA MSICHANA AKO-how will you feel?...if its okay,just DO it(usimwache demu)
But
If not( mwache demu)

JIANDAE KISAIKOLOJIA KWA MAAMUZ YOYOTE YA MAPENZI UTAYOFANYA[emoji6]

Stop NOT,fear NOT-Grab yo destiny
 
We ni dunya,,, haya weka namba yake hapa nimwambie aache kukufata fata!
 
Back
Top Bottom