miss username
Member
- Mar 30, 2013
- 78
- 32
Nimeamka
kwenda kujisaidia mida ya saa kumi kasoro cha ajabu ile nafungua tu
mlango wa toilet nikaona nyoka mweusi mdogo mfano wa makerpen karibu na
tundu la choo
Nilichoamua ni kumflash kwa ndoo kubwa za maji. Hivi kweli atakuwa
amekufa au ataibuka tena?
Naogopa sana ukizingatia chumba chenyewe ni self
Naombeni ushauri nifanyeje