Msaada: Nifanyeje chooni kwangu kuna nyoka

Msaada: Nifanyeje chooni kwangu kuna nyoka

Atakuwa kajibanza mahali kwenye hilo tundu...Chuchumaa kwa taadhari next time maana anaweza akatoka kwenye tundu la choo na kuingia kwenye tundu lingine....

Mkuu umenifurahisha sana
 
Weee mwagia petroli dumu zima halafu tia kiberiti lazima afe
 
Pia unaweza tupia bomu la mkono shimoni ili uwe na uhakika hatarudi
 
Nyoka ana ukubwa wa makapeni? Tatizo dogo tu fuga kuku wa kienyeji chooni pako wanapenda sana suneki huyo mbona watapiga nae mbizi hadi kwenye karo lenyewe mai niace.
 
pole mtoa mada.moja ya vitu ninavyoviogopa ni nyoka.maana ingekuwa mimi kila siku chooni ningejisaidia kwa wasiwasi
 
Duh! Najiuliza kama ungekua hujamuona hafu ile umechuchumaa tu kuanza mambo mara kakudunga! Sijui ungewaambia majirani kuwa umeumwa na nyoka!!! Manake lazima watakuuliza wapi.....! By the way kama una mafuta ya taa ka lita 1 na zaidi mimina humo, kwa harufu atatoka fasta na kama yakimpata yatamkatakata.
miaka ya nyuma kabisa,nakumbuka nilivaa pichu yangu,bila kuangalia kwa makini,kumbe ndani kulikuwa na dudu washa,pichu nimeshaivaa mara nasikia kitu kinatekenya,nikavua na kuangalia uwiiii,si makelele hayo niliyopiga,hilo tukio silisahau.ila nashukuru sikuwashwa
 
Nunua disel lita1 au mbili miminia ndani ya choo na kwenye sink atakufa tu kwani itamchanachana na hakikisha hukitumii kwa siku nzima kuepusha kuflash hiyo disel,ziba mipenyo yote nje ya choo na kisima chake,kama katumwa piga sala
 
Aaand before i forget..kwenye saccos yangu kapungua member mmoja ( Mrembo by Nature) na ninahitaji replacement..so siku ukijisikia uoga kulala peke yako unakaribishwa kunipm.


"Mambo 5 muhimu ya kumfanya demu akukupali au demu wako akupende kwa dhati 1.Mpe hela. 2.Mpe hela 3.We mpe hela. 4.Nakwambia mpe hela. 5.We mpe hela tu utaona"

Ni mimi mtoto wa Jakaya hata ikulu napiga chata.

CC Mentor ....japo kimya kimya ninajua unasoma

 
Last edited by a moderator:
mkuu tumia mafuta ya taa ila usiyamimine moja kwa moja kwenye shiomo, hakikisha yanaambaa na ukingo ywa tundu kila mahali, kwani kama ni nyoka atakuwa amejishikiza somewhere, na ikiwa ni nyoka kweli (sio mnyoo), akipata mafuta huwa anakuwa more danger kwani hutafuta pa kukimbilia so chukua tahadhari.
best of luck
 
Pole xna maana mm hta mende 2 naogopa cpat picha ndo ningekua mm
 
Washa moto kwenye hicho choo ataungulia humo.
 
We kwani huyo ni nyoka maji bwana ameshakufa zamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom