Msaada: Nifanyeje chooni kwangu kuna nyoka

Msaada: Nifanyeje chooni kwangu kuna nyoka

Nadhani kuna mengi ya kujiuliza hapo! Ameingia chooni, Kama ni mdogo mama yake yuko wapi, then utawamaliza vp woote hao?
 
Plz naomba nikuukize, je ww msimamo wako ni upi juu ya gas ya Mtwara? Km ulishawah kuropoka kuw INATOKA....bac kazi unayo kaka, huyo nyoka hatodhibitika hata kwa mafuta taa. Change msimamo haraka ili ukate gogo kw raha.

Kwi kwi kwiiiii!!!......hivi hilo nalo linaweza kuwa sababu eti heeee!!!
 
Miminia Castle lager 4,heineken 5,na nyagi chupa kubwa 2 tuuuu.....Ze snake kwisha habar yaake.
 
miaka ya nyuma kabisa,nakumbuka nilivaa pichu yangu,bila kuangalia kwa makini,kumbe ndani kulikuwa na dudu washa,pichu nimeshaivaa mara nasikia kitu kinatekenya,nikavua na kuangalia uwiiii,si makelele hayo niliyopiga,hilo tukio silisahau.ila nashukuru sikuwashwa

pole dada. duduwasha alikuwa upande upi wa shilingi?
 
Simple nunua chumvi nusu kilo hivi kisha yeyusha halafu mwaga humo shimoni. Akigusa chumvi magamba yake hukatika katika.

Ukitaka atoke alikojificha chukua kipande cha mpira choma halafu kiache huko chooni harufu itamtoa kokote alikojificha.

Kuwa jasiri akijitokeza bonda kichwa chake kama maandiko yanavyotuelekeza.
 
miaka ya nyuma kabisa,nakumbuka nilivaa pichu yangu,bila kuangalia kwa makini,kumbe ndani kulikuwa na dudu washa,pichu nimeshaivaa mara nasikia kitu kinatekenya,nikavua na kuangalia uwiiii,si makelele hayo niliyopiga,hilo tukio silisahau.ila nashukuru sikuwashwa

Duduwasha
 
Nimeamka
kwenda kujisaidia mida ya saa kumi kasoro cha ajabu ile nafungua tu
mlango wa toilet nikaona nyoka mweusi mdogo mfano wa makerpen karibu na
tundu la choo

Nilichoamua ni kumflash kwa ndoo kubwa za maji. Hivi kweli atakuwa
amekufa au ataibuka tena?
Naogopa sana ukizingatia chumba chenyewe ni self
Naombeni ushauri nifanyeje
Duh,,,na vile sisi wanaume tukitumia vyoo vya kukaa mfumo wote wa uzazi tunauzamisha kwenye shimo aka tunauninginiza shimoni😀kazi tunayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom